massmedia50
Member
- Sep 19, 2013
- 38
- 5
Tanzania ndiyo nchi pekee duniani ambayo kilimo hufanyika vijijini lakini maonyesho ya nane nane hufanyika mijini tena mkoani na wanaotawala maonyesho hayo kwenye media ni viongozi wenye nyadhifa kubwa ambao sio wakulima.
Think Big.
Think Big.