H HarakatiNews JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 218 Reaction score 187 Jul 4, 2015 #1 Punde nakuweka hapa link ya live streaming kuanzia saa 10 jioni.kutoka Nakivubo. Ikigoma Gonga HAPA link zipo kama sita hivi. Rais museven atakuwa uwanjani Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Punde nakuweka hapa link ya live streaming kuanzia saa 10 jioni.kutoka Nakivubo. Ikigoma Gonga HAPA link zipo kama sita hivi. Rais museven atakuwa uwanjani
mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,811 Reaction score 11,028 Jul 4, 2015 #2 Sawa tunasuburi mkuu, wazalendo bado tupo na timu yetu hatujakata tamaa
H HarakatiNews JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 218 Reaction score 187 Jul 4, 2015 Thread starter #3 mito said: Sawa tunasuburi mkuu, wazalendo bado tupo na timu yetu hatujakata tamaa Click to expand... kweli kabisa kamanda,lakini yataka moyo
mito said: Sawa tunasuburi mkuu, wazalendo bado tupo na timu yetu hatujakata tamaa Click to expand... kweli kabisa kamanda,lakini yataka moyo
mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,811 Reaction score 11,028 Jul 4, 2015 #4 HarakatiNews said: kweli kabisa kamanda,lakini yataka moyo Click to expand... Ndo hivyo mkuu, hatuna jinsi ndo timu yetu ya taifa, tutafanyaje sasa??!! kususia siyo solution
HarakatiNews said: kweli kabisa kamanda,lakini yataka moyo Click to expand... Ndo hivyo mkuu, hatuna jinsi ndo timu yetu ya taifa, tutafanyaje sasa??!! kususia siyo solution
M mwacheni77 JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 763 Reaction score 210 Jul 4, 2015 #5 HarakatiNews said: Punde nakuweka hapa link ya live streaming kuanzia saa 10 jioni.kutoka Nakivubo. Ikigoma Gonga HAPA link zipo kama sita hivi. Rais museven atakuwa uwanjani Click to expand... Kama umepata line up tupia mkubwa tuone leo kama tunaambulia chochote Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
HarakatiNews said: Punde nakuweka hapa link ya live streaming kuanzia saa 10 jioni.kutoka Nakivubo. Ikigoma Gonga HAPA link zipo kama sita hivi. Rais museven atakuwa uwanjani Click to expand... Kama umepata line up tupia mkubwa tuone leo kama tunaambulia chochote
M muna Member Joined Apr 3, 2011 Posts 28 Reaction score 2 Jul 4, 2015 #6 mwacheni77 said: kama umepata line up tupia mkubwa tuone leo kama tunaambulia chochote Click to expand... [h=1]no change as micho names cranes xi against tanzania[/h]
mwacheni77 said: kama umepata line up tupia mkubwa tuone leo kama tunaambulia chochote Click to expand... [h=1]no change as micho names cranes xi against tanzania[/h]
M muna Member Joined Apr 3, 2011 Posts 28 Reaction score 2 Jul 4, 2015 #7 Anyone with taifa stars line up?
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 754 Jul 4, 2015 #8 muna said: Anyone with taifa stars line up? Click to expand... Tanzania XI vs Uganda: Mustapha, Kapombe, Haji, Haroub, Yondani, Mudathir, Kaseke, Domayo, Bocco, Mandawa, Msuva
muna said: Anyone with taifa stars line up? Click to expand... Tanzania XI vs Uganda: Mustapha, Kapombe, Haji, Haroub, Yondani, Mudathir, Kaseke, Domayo, Bocco, Mandawa, Msuva
S Sangomwile JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 3,227 Reaction score 1,104 Jul 4, 2015 #9 Lucchese DeCavalcante said: Tanzania XI vs Uganda: Mustapha, Kapombe, Haji, Haroub, Yondani, Mudathir, Kaseke, Domayo, Bocco, Mandawa, Msuva Click to expand... Inaoneshwa mkuu?
Lucchese DeCavalcante said: Tanzania XI vs Uganda: Mustapha, Kapombe, Haji, Haroub, Yondani, Mudathir, Kaseke, Domayo, Bocco, Mandawa, Msuva Click to expand... Inaoneshwa mkuu?
Mandla Jr. JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 3,098 Reaction score 631 Jul 4, 2015 #10 sijaona kitu...
Kitoabu JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 11,080 Reaction score 12,319 Jul 4, 2015 #11 Gem saa ngapi wandugu? Azam tv hawaonyeshi?