Tanzania Vs Kenya: Contribution to African Unity and Pan Africanism

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
21,035
64,850
Hebu turudi nyuma kidogo katika historia, hivi ni msaada upi ambao Kenya imetoa kwa Africa mpaka kujifanya ni muumini mzuri wa Umajumuhi wa Africa?

Haya mimi naanza na Tanzania, japo tulikuwa maskini tulikuwa na utu na undugu.
1. Uhuru wa Mozambique.
2. Uhuru wa Angola.
3. Uhuru wa Namibia.
4. Uhuru wa Northern Rhodesia.
5. Operation mtoe Nduli Uganda.
6. Uhuru wa Africa ya kusini.
7. Operesheni ondoa kichaa na Leta Amani Kenya.
Thanks Jakaya Kikwete, Kenya is back on her feet enough to send trolls all over the internet.
8. Operesheni leta Amani Burundi na Rwanda.
9. Operesheni fukuza Mobtu Sese seko.
10. Opereshini Goma- Toa M23
11. Uhuru wa Zimbabwe.
12. Katiba mpya Somalia- Thanks to Dr Augustine Mahiga.
13. Tanzania imesaidia kuandika katiba ya Zimbabwe.
14. Lesotho ishawahi kuwa na Attorney General Mtanzania pindi baada kupata Uhuru
15. Mzee wetu Philip Mangula alisaidia sana kuleta amani ndani ya ANC South Africa.
16. Kisiwa cha Comoro kumtoa Kanali Bakari

NB: ALL THESE MISSIONS WERE SUCCESSFUL AND WE NEVER DEMANDED EVEN A DIME.

Hebu tuangalie mchango wa Tanzania kimataifa;
1. Advocating for the Restoration of China in the Security Council.
It was very successful, thanks to Doctor Salim Ahmed Salim. And in 1972 China got it.

2. Peace in the Middle East. Especially the statehood of Palestine.

3. Hosting the Black Panthers party of America in Arusha.

Hebu tuangalie post za Kimataifa ambazo Watanzania wamewahi kushika.
1. Deputy General Secretary of The United Nations
Huyu ni mama Asha Rose Migiro.

2. President of the United Nations Security Council.
Mara mbili Tanzania imetoa viongozi.
Wa kwanza Alikuwa Doctor Salim Ahmed Salim
Wa pili ni Balozi Dr Augustine Mahiga.

3. Chairman of the OAU
Doctor Salim Ahmed Salim stayed in the post for Eleven Years.

4. International Law Commission- Researcher.
Professor Chris Peter Maina.

5. Chairman of the EAC
Tanzanian presidents presided for two consecutive periods.

6. President of the Tribunal of the law of the sea
Hon. Judge Joseph Sinde Warioba

CC: MOTOCHINI , Annael , Hoshea , Geza Ulole
 
HEBU TUCHEKI KENYA SASA:

1. Operesheni ondoa Ugaidi Somalia.
Its simply a failure, Kenyan Boy Scouts are butchered like rats and casualties are devastating.

2. Africa nzima imekataa kushirikiana na Makabulu minorities wanaowatesa Waafrika Weusi Majority South Africans. Lakini Kenya ikawakubatia.

3. Africa ilikataa kufanya biashara na Seriakali Ya Ian Smith ya Southern Rhodesia inayowanyanyapaa Weusi. Ila Kenya ikafanya hivyo

4. Kenya walijidanganya kutaka kuivamia Tanzania mwaka 1981 kupitia visiwa vya Sheli Sheli wakisaidiana na Makabulu lakini haikuweza fanikiwa.

5. Kenya ilifadhili Magaidi wa Renamo ambao waliua Waafrika wenzao wasiokuwa na hatia. Leo hii wanalalamikia kuvamiwa na Al Shabab ambao wanawaita ni magaidi; Sisi waswahili husema muosha huoshwa.

Hebu tajeni harakati zenu za Kimataifa tuone basi.
 
Masahihisho post ya kwanza
kigogo=kidogo
Namba 4 na 6 zimejirudia.

Alafu iyo namba 7 ilikuwaje kuwaje iyo, sijawai sikia.
 
Kama wewe ni mwanazuoni, walau kwa ngazi ya cheti najua utakuwa unafahamu kwa uhai wa diplomasia,udugu na ujirani mwema hili bandiko lako si la kiungwana, tena kwa kipindi hiki tulichonacho!
 
Sikuelewi hapo unaposema Truth against Diplomacy.
Diplomacy ni nini?

Wakati mwingine tunapeleka watoto shule ili kujifunza ustaarabu, sio lazima kufaulu masomo ya darasani, how dare mtu unayedhani umestaarabika unaweza kusimama wazi, kuanza kufanya comparison za kiuanafunzi,tena wanaojifunza kufanya arguments kutoa chapisho ama tamko linaloweza kuchochea uhasama baina ya watu wa taifa moja na lingine?
 
Hujajibu swali langu,
Diplomacy ni nini?
Au ndiyo ustaarabu kama unavyotaka kuniambia?

Basi Kenya litakuwa ni Taifa la Kipumbavu kama litachukulia ukweli kama tusi,
Ukweli huwa haubadiliki hata kwa unafiki

Halafu wewe una moral position gani ya kunihibiria mimi kuhusu ustaarabu?
 
Wanachokifanya wakenya unakiona au ndio unanidhamu ya uoga???
Kuna sababu gani basi kuficha busara zako kwa vile tu unataka kumwonesha mpuuzi fulani kwamba nawe ni mpuuzi kwa kiwango kilichotukuka?
Jamani tufike mahali tuwe tunahukumu mtu mmoja mmoja badala ya hizi hukumu za ujumla...haiwezekani atokee raia mmoja afanye jambo lisilo na staha kisha hukumu itolewe kwa taifa lake zima as if alifanya kwa hisani ya taifa!
 
Wewe kinachokuuma hapa ni nini?
Watu kama ninyi mlio na usomi wa kinafiki ndiyo mechangia kurudisha hili taifa nyuma.
Yani unataka Tuwe Intellectual Sycophants?

Kwanza, its a free world,
I speak whatever i want, whenever i want so long as i don't break the law.

Pili, its my constitutional right protected by the the CURT constitution of 1977 na International Human Rights Conventions.

Tatu, hujatoa majibu bado.
Nini maana ya diplomasia?
 
Hujajibu swali langu,
Diplomacy ni nini?
Au ndiyo ustaarabu kama unavyotaka kuniambia?

Basi Kenya litakuwa ni Taifa la Kipumbavu kama litachukulia ukweli kama tusi,
Ukweli huwa haubadiliki hata kwa unafiki

Halafu wewe una moral position gani ya kunihibiria mimi kuhusu ustaarabu?

Ulitaka niwe na moral position gani ili niweze kupoint pale unapotoa matamshi yenye kulete mfarakano? Uungwana huwa haufundishwi!
 
Kuna sababu gani basi kuficha busara zako kwa vile tu unataka kumwonesha mpuuzi fulani kwamba nawe ni mpuuzi kwa kiwango kilichotukuka?
Jamani tufike mahali tuwe tunahukumu mtu mmoja mmoja badala ya hizi hukumu za ujumla...haiwezekani atokee raia mmoja afanye jambo lisilo na staha kisha hukumu itolewe kwa taifa lake zima as if alifanya kwa hisani ya taifa!
Nakushukuru wewe uliyeamua kuficha ustaarabu wako kwa nidhamu za uoga ulizonazo but mimi huwa napenda kujiweka huru kuongea kile nachoona kinachoendelea kwa kukusaidia,ufuatilie mijadala inayoletwa na hao wakenya ili uone kile kilichomo katka nafsi zao juu yetu watz
 
Back
Top Bottom