Tanzania 🇹🇿 🤝 USA 🇺🇸

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,136
Reaction score
883
Tanzania’s tourism industry generated $4.41 billion in 2025, according to the report. Tourism supports jobs, local businesses, transport, hospitality and foreign-exchange earnings. Protecting confidence in this sector matters.

#TanzaniaUSRelations #VisitTanzania #TanzaniaYetu
 
Tanzania’s tourism industry generated $4.41 billion in 2025, according to the report. Tourism supports jobs, local businesses, transport, hospitality and foreign-exchange earnings. Protecting confidence in this sector matters.
Zinaishia mikononi mwa wahuni wachache
 
Mbona kama mnajipendekeza sana kwa mabeberu?
Yaani hamna amani...

Kiongozi wa US au EU akiongea tu kuhusu Tanzania habari ni nchi nzima... mbona mwanzoni haikuwa hivyo? Nini kimebadilika?

Punguzeni kujipendekeza... mabeberu hawataki mazoea...
 
Usa wamekusanya ngapi?😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…