Tanzania, Uganda reject Sudan EAC entry

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
31,652
Reaction score
36,292
Posted Monday, November 28 2011 at 00:00

Khartoum's application to join the East African Community was on the verge of collapse at the weekend after officials from Uganda and Tanzania refused to endorse it.

Sudan stunned the region earlier this year when it applied to join the EAC ahead of the breakaway Republic of South Sudan, which has closer political, economic and cultural ties to the rest of the EAC member states.Speaking to Daily Monitor after a meeting of the EAC Council of Ministers here, Eriya Kategaya, Uganda's minister for East African Affairs, said Uganda and Tanzania were not willing to admit the Khartoum government even though the governments of Rwanda, Kenya and Burundi didn't offer any objections.

"We rejected their application after looking at several issues like their democracy, the way they treat women and their religious politics and we feel they don't qualify at all," Mr Kategaya said.

The final decision on Sudan's application will be delivered on Wednesday when Presidents Museveni, Paul Kagame of Rwanda, Mwai Kibaki of Kenya, Jakaya Kikwete of Tanzania and Pierre Nkurunziza of Burundi meet in the heads-of-state summit.

Mr Kategaya said a similar application by South Sudan to join the regional trading bloc, which came only last week instead of the required six months ahead of the summit, was late and would instead be discussed next year.

READ MORE FROM SOURCE: Uganda, Tanzania reject Sudan
 
Im sorry, is DRC a member of EAC
 
Hivi hawa warabu koko wanatutakia nini sisi wabantu
 
Pamoja na Uarabu wao koko wao pia ni waarabu Waafrika kwani Nchi ya sudan ipo wapi katika ya Ramani ya dunia?
Mzizimkavu umeshaamka?

Ni hivi, hawa jamaa hawaelewi kiswahili mpaka watumie mkalimani kigezo ambacho nil lazima kwa nchi wanachama kuwa nacho. Pia kijiografia wao hawapo Afrika mashariki kwa hiyo maneno yangu bado yanasimama
 
Sudan government officials were not available to comment by press time but Uganda's rejection of its bid is in keeping with Kampala's strong-arm foreign policy against what President Museveni has previously described as Khartoum's attempts to forcefully spread Islamic ideology south.
 
Pamoja na Uarabu wao koko wao pia ni waarabu Waafrika kwani Nchi ya sudan ipo wapi katika ya Ramani ya dunia?
ni wewe na wengine wote tunatambua kuwa wao ni waafrika, lakini ukiwa Sudani wenyewe wanajiita Waarabu na kama ni Mtanzania wanakwambia unatoka Afrika. Unajua hawa jamaa wako ktk confussion sana. Yaani Identity yao haieleweki. Waarabu wenyewe huwa wanawabagua hawa wa Sudani kusema kuwa ni waarabu feki wanaojipendekeza na kujiweka sawa na waarabu.
Original ya neno Sudani ni kuwa ni nchi ya watu weusi(Al Sudan). N neno la Kiarabu. Nci ya Sudani haikuawa na waarabu wowote. Hawa wanaojiita waarabu ni "machotara" kati ya waafrika na hao Waarabu ambao walikwenda Sudani kueneza dini ya Kiislamu
 
Mfumo kristo Tanzania na Uganda una mizizi mirefu sana.Pamoja na kwamba wakristo ni wachache Tanzania lakini jeuri yao inashinda hata ya Vatican. Maneno meengi likija suala linalohusu waislamu.
Mahakama ya kadhi na OIC eti ni kuvunja katiba,ile ya MOU na kuchota mabilioni ya fedha za hazina kupeleka makanisani si uvunjaji wa katiba.
Sudan nako eti "tunatambua kuwa wao ni waafrika, lakini ukiwa Sudani wenyewe wanajiita Waarabu na kama ni Mtanzania wanakwambia unatoka Afrika".Sasa maamuzi yenu yanaongozwa na maneno ya mabarazani!.Ukweli si lazima uusikie mitaani kama akili zako ziko sawa si utaona mwenyewe kuwa wasudan ni waafrika hata wakijiita waarabu sisi tunajua ni waafrika.Ukiangalia Tanzania hao machotara ndio wamejaa.Tuseme munawachukia ndio maana hamuishi kuwabughudhi na kuwasingizia uongo. Ukisikia ushoga wa akina Cameroon ndio huo.
 
Nahisi hata Kibaki akiona Tanzania na Uganda wamekataa na yeye atakataa maana hizi ndo nchi kongwe za EA
 

Sudan must first put her house in order,dafur, south kodafan etc...again her application to join EAC was malicious!
 
Aisee wee Ami vipi tena?
Kuna siku mashoga walikaa wakisimuliana " Kokowikooo!..huyo nnani?." .Shoga mmoja akaruka " Huyo ni mbuzi" .Mashoga wengine wakampongeza "umepatia".
Yule mwana JF shoga siku hizi simuoni humu angekwambia kwamba hicho kisa ni cha kweli.

Basi ndivyo ilivyo kwa yeyote anayeuliza kuhusu uafrika wa Sudan.
 
EAC yenyewe ina faida yoyote? miafrika inapenda kung'ng'ania vitu visivyo na faida. Sasa naona mijitu kama al Qaeda al Shaabab al Harakat al Shaytwan akina Ami wameshapata kisingizio na palaeoideology zao za Waarabu wa kale walokuwa wakiishi mapangoni na kuchamba kwa kutumia mawe huku wakidai eti jua linazama kwene matope. funny and sad at the same time.
 
north sudan kuna waislam wengi hawatakubaliwa kujiunga lakini south sudan ya wakristo wengi watakubaliwa kujoin eac. WITO KWA WAISLAM WOTE TUHOJI HILI IWAPO LITATOKEA NI VITA YA WAZI DHIDI YA UISLAM
 
Reactions: Ami
Ha ha ha ha, aiseeh, kweli inahuzunisha mkuu. Hizi fallacy zao ambazo ni dogmatic, kweli inaonyesha jinsi walivyo feeble minded.
 
north sudan kuna waislam wengi hawatakubaliwa kujiunga lakini south sudan ya wakristo wengi watakubaliwa kujoin eac. WITO KWA WAISLAM WOTE TUHOJI HILI IWAPO LITATOKEA NI VITA YA WAZI DHIDI YA UISLAM
lol @ this deluded Islamist. South Sudan kama ilivyo hapa Tanzania wengi wao hawafuati dini zenu za wakoloni (waliowanyonya na kuwatenda ukatili na ufidhuli wa hali ya juu mababu zetu na kututia kilema cha maisha cha umaskini na magomvi yasioisha ya hizo cults zenu).
 
Wangewaacha tuu waingie,kuwakatalia will not solve darfur,gender violence or southern Sudan,hii EAC is about business opportunity and market expansion,hii bureaucracy ya border tulizowekewa na mkoloni ni mateso na hasara kubwa kwenye business community ya Africa na watu wake wote,hawa watu wangefungua markets zao na wana mafuta mengi sana..lazima kuangalia mbele na kufungua more opportunity kwa wananchi wako na federations kama hizi za EAC zina kuja na hayo mambo,kuna billions of petrodollar zimejaa khartoum zinatafuta where to invest,tuache politiking au story ambazo hazieleweki tuangalie maslahi yetu kwanza,hakuna haja ya kuogopa EAC maana its all about business na wanaofikiri EAC will influence politics or security of member states they re dead wrong and will never happen!
 
Kwanini wasiende kwenye EGAD? Mbona wanapenda sana hii jumuiya? Tanzanians ukombozi ulikwisha mika mingi sasa kila mtu na msalaba wake hakuna cha msalie mtume.
 
Kwanini wasiende kwenye EGAD? Mbona wanapenda sana hii jumuiya? Tanzanians ukombozi ulikwisha mika mingi sasa kila mtu na msalaba wake hakuna cha msalie mtume.
Wanataka mto Nile, na sisi tunataka Victoria iwe harvested Southward.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…