comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Tumeonewa sana, tumechekwa sana na wanaojiita majirani wema, sasa Serikali isione aibu kuweka wazi na kutangaza kulinda maslahi yetu yote kuanzia Utalii, Wanyamapori, utaifa wetu na biashara nyingine, ninatoa mfano tumeibiwa sana katika madini, tumeibiwa sana katika utalii, tumeibiwa sana na kunyonywa katika biashara sasa tuseme basi tuanze kuwa wakali kwa kauli kali katika kulinda na kutetea bidhaa zetu hasa utalii, ninatoa wazo ambalo likitekelezwa tutakaa vizuri ni hivi serikali ione haja ya kumiliki moja kwa moja biashara ya kusafirisha watalii yaani serikali ianzishe kitu kinachoitwa Tanzania Tourism Service hii taasisi imiliki makampuni ya utalii, na mahoteli na iendeshe biashara hizo
Ninaongea hivyo kwasababu kuna makampuni mengi ya utalii yanaendeshwa na wageni yapo nchini yanafaidi na pesa na kukimbizia kwao.
Vilevile kuna makampini ya uwindaji yanadokoa kila wanachoweza sasa serikali ichukue jukumu hilo kuanzia taasisi ya serikali itakayoendesha moja kwa moja yaani Tanzania Hunting services
Usimamizi upya unatakiwa katika leseni za uwindaji lisiwe privatised no liwe
Kuhusu suala la ajira katika sekta binafsi ambazo zipo nchini sheria za ajira ziwe protected na ziwajali watanzani yaani Tanzania Kwanza, Aidha kuhusu mrabaha wa madini serikali ipitie upya sheria za madini na biashara ya madini ili Tanzania ipate angalau 55% ya pato la biashara hiyo kutoka kwa mwekezaji.