MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Tunataka wapinzani wa aina hiyo na sio watu wa kukaa na kupanga mambo yasiyotimia mfano vuguvugu la UKUTA. Watu wamekaa tu wameweka mikono mifukoni wakisubiri Mungu awalipe, wanabaki kulalama tu.
Dr Bessigye wa Uganda na Raila Odinga wa Kenya ni aina ya Viongozi ambao bado hawajafanikiwa sana kulingana na siasa za nchi zao lakini kihistoria hawa jamaa wamehaswa sana na wamebadili baadhi ya mambo kwenye nchi zao ingawa Dr Besigye bado anakabiliwa na wakati magumu kuliko Odinga. Mimi sina kumbukumbu kama Mh Mbowe analijua rungu la polisi.
Nimetolea mfano kwa sababu hawa viongozi wawili si wanafki na watu wa kurudi nyuma kimisimamo.