Tanzania Tunakwenda Kuandika Historia

Tanzania Tunakwenda Kuandika Historia

katusyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
1,455
Reaction score
434
Tunakwenda Kuandika Historia Mpya Katika Nchi Yetu Siku Ya Jumapili Ya Tarehe 25 October 2015 Historia Hii Ni Ya Kujitwalia Madaraka Kwa Watanzania Chini Ya Mkoloni Mweus Akijificha Kwa Uzalendo Mimi Natamani Sana Kuifikia Siku Hiyo Na Kuwa Mmoja Wa Wanahistoria
 
Angalia usije aibika ukakosa hata la kunena humu, maana mnazungumza bila kubakisha maneno ya ziada..

Amani kwanza, ukikubali kushinda kubali pia kushindwa.
 
Angalia usije aibika ukakosa hata la kunena humu, maana mnazungumza bila kubakisha maneno ya ziada..

Amani kwanza, ukikubali kushinda kubali pia kushindwa.

Tunakwenda Kwa Namba Ndugu Namba Haidanganyi, Mbili Ni Mbili Haiwezi Ku 4 Namba Inaonyesha Kabisa Mnakwenda Kung'oka Niwe Na Wasiwasi Wa Nini?
 
Kumbuka siku ya mwisho hubadilisha matokeo chadema woòooote miezi mitatu ilyopita walijua dr slaa angekuwa mgombea wao ghafla akatupiwa virago na ze jimama chali sasa subirini kituko kingine
 
Historia inaandikwa kwa kumpata kiongozi ataketuvusha kuelekea nchi ya ahadi kwenye asali na maziwa,huyu si mwingine bali John Pombe magufuli,hapa kazi tu,mafisadi wote mjiandae kuhama nchi,hatutaki mchezo,huyu ndio rais wetu wa awamu ya 5,tusifanye makosa katika hili na wala tusikubali kudanganyika kwa ahadi za ukawa zisizotekelezeka,wetu ni magufuli mwadilifu,mzalendo,mchapakazi na kiongozi wa watu aliyetokana na watu na sio fisadi
 
Hatuwezi kuongozwa na watu wasio na dira wanaoangalia maslahi yao tu na ndugu yao,hawana historia yenye tija,hapa kazi tu,magufuli nambari moja,kaza buti tuko nyuma yako RAis wetu wa awamu ya 5
 
Ilianza pale Lowasa alipojitoa CCM!inaendelea na wakati haungopi tuwe na uvumilivu kwa lolote litakalotokea.
 
Historia inaandikwa kwa kumpata kiongozi ataketuvusha kuelekea nchi ya ahadi kwenye asali na maziwa,huyu si mwingine bali John Pombe magufuli,hapa kazi tu,mafisadi wote mjiandae kuhama nchi,hatutaki mchezo,huyu ndio rais wetu wa awamu ya 5,tusifanye makosa katika hili na wala tusikubali kudanganyika kwa ahadi za ukawa zisizotekelezeka,wetu ni magufuli mwadilifu,mzalendo,mchapakazi na kiongozi wa watu aliyetokana na watu na sio fisadi

Hatuwezi tukagemea kupata mabadariko kutoka kwenye chama kilekile, chenye watu walewale, wenye maono yaleyale, na ahadi zilezile, walisema hari mpya nguvu na kasi mpya sasa wanasema hapa kazi tu, ebu tuacheni kujitoa ufaham watanzania dunia inatushangaa kuwa hivi hawa ni watu! au ni ng'ombe? maana mambo yanayofanyika tanzania hayapaswi kufanywa na binadam, ila mwaka nyinyiem mtatusamehe tunakwenda kuionyesha dunia kuwa tanzania sio ya ccm pekee
 
Mabadiliko makubwa yataletwa na Magufuli na si mtu mwingine,ameknyesha uwezo,uadilifu,uzalendo na kwa sasa anatufaa ili atuvushe katika kipindi hiki
 
Back
Top Bottom