Majina hayatoshi inabidi uunganishe nguvu ya kisiasa, kiuchumi, kijamii, vyama vyote, wasio na vyama, ndani ya chama walio ccm hawapendi yanayoendelea, dini, makabila yote. Watu wa mjini na vijijini. Hivyo ndivyo, njia pekee kushinda na kulikomboa Taifa