Tanzania tujaribu kuwa na Rais ambae sio mwanasiasa

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Aug 8, 2021
2,217
3,017
Toka dunia hii iumbwe Tanzania tumekuwa na viongozi wa ngazi za juu ambao ni wanasiasa.

Yaani unakuta Rais ni mwanasiasa kwa miaka mingi, Waziri mkuu ni mwanasiasa n.K

Kuna baadhi ya mataifa yanachagua mtu kwa sera zake ata kama sio mwanasiasa. Angalia 2016 Trump alivyopata nomination ya Republican na kuwagaragaza wanasiasa machachari kina Ted Cruz, Rubio, Jeb Bush n.k

Trump alimshinda mwanadiplomasia nguli Hilary Clinton kwenye uchaguzi mkuu, kama taifa kubwa kama US wanachagua ntu ambaye hajawai kuwa ata mjumbe wa nyumba kumi kuwa raisi why sisi tungangane na wanasiasa?

Angalia maraisi kama Ronald Regan, kina Zelensky sio wanasiasa.

Ukiuliza watu 2030 nani anafaa kutuongoza watu watakutajia kina, Mwiguru, Makamba, Majaliwa n.K

Hivi Tanzania ni lazima tuongozwe na Wanasiasa?

Karibu

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Magu hakuwa Mwanasiasa!!!

Pia ajaye hatokuwa politician, atakuwa Nabii wa kabila la Yuda!!
 
Tanzania ni nchi ya ajabu hata wafundisha careers ma professor ma Dakitari bingwa wana uchumi bingwa ni wana siasa, sasa hao utawapata wapi, bila siasa Tz hutobowi.......
 
Tanzania ni nchi ya ajabu hata wafundisha careers ma professor ma Dakitari bingwa wana uchumi bingwa ni wana siasa, sasa hao utawapata wapi, bila siasa Tz hutobowi.......
Angalia eti Bashite na Sabaya walikuwa viongozi jamani

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Rais lazima atoke ccm, Rais lazima awe mwenyekiti wa chama. Rais lazima azingue sababu anabebwa na katiba haramu ya 1977
 
A person who is professional involved in politics!!

Niko sawa, Magu hakuwa politician.

Hakusomea siasa kama kina Kinana nk.

Hakuwahi kuwa hata balozi, diwani!!!!
Refers kwenye title ya uzi nimesema career politician, sasa Magu toka 95 yupo siasani anagombea na kupigiwa kura afu unasema sio mwanasiasa

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Yaani unasema Ronald Regan ni raisi wa hovyo alishinda states 51 kasoro moja tu

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Tunatofaoutiana u hovyo tunavyo uchukulia......
Alikuwa popular president, ila wa hovyo.

Tuna ugaidi mpaka Leo sababu ya US chini ya uongozi wake walifund Jihad fighters ( Mujahedeen).
Ni huyu Regan ndio aliita Tanzania delegation monkeys.
 
Rais anaweza kuwa siyo mwanasiasa ?
Hakuna mwanadamu ambaye siyo mwanasiasa.

Na haiwezekani kiongozi wa kuchaguliwa asiwe mwanasiasa.
 
Tunatofaoutiana u hovyo tunavyo uchukulia......
Alikuwa popular president, ila wa hovyo.

Tuna ugaidi mpaka Leo sababu ya US chini ya uongozi wake walifund Jihad fighters ( Mujahedeen).
Ni huyu Regan ndio aliita Tanzania delegation monkeys.
Ok mie kwangu na Trump walikuwa poa

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…