Mkuu hii kidogo imenishtua! Hivi kwa nini hatukuwa na Ubarozi nchini Angola - miaka yote ile tangu apate uhuru, mimi nilifikili tuko karibu na ndugu zetu wa Angola - sasa tatizo lilitokana na nini?Bado tu jamani?
I just read somewhere here in JF that Tanzanians do not invest in other countries.
I just read somewhere here in JF that Tanzanians do not invest in other countries.
Mkuu hii kidogo imenishtua! Hivi kwa nini hatukuwa na Ubarozi nchini Angola - miaka yote ile tangu apate uhuru, mimi nilifikili tuko karibu na ndugu zetu wa Angola - sasa tatizo lilitokana na nini?
Mkuu nakwambia nashikwa na butwaa kabisa! Yaani Kambarage alivyo kuwa anashirikiana na Augostino NETO na Dos Santos yaani siamini kwamba hatukuwa na ubarozi Angola!!! Kwani marafiki wa kweli wa Taifa letu kumbe ni akina nani?? Oh my...Mkuu ukifukunyua mtandaoni habari za Angola na TZ utaishia JF! Hata website ya Wizara ya mambo ya nje haieleweki.