Huyu bwana nasikia amegoma kabisa wala hataki kusikia habari za kufufua shirika la ndege ATCL badala yake sera yake ni kuimarisha ndege za kampuni ya 540 na precision Air ambao inasemekana wamemfadhili kuanzisha mfuko wa kuwakopesha wafanyabiashara wadogo wadogo huko Tanga!! Kwa mtindo huu Kikwete ajue ATCL inamfia mikononi!!