Watu 2000 wagawiwe USD 18Mln, ambapo kila mtu atapewa kama milioni 20Tzs. Uhamishwe sehemu ambayo labda ndo uliyozaliwa au uliyokulia, usumbufu utakao upata wewe na familia yako kuanza tena Maisha sehemu nyingine unapewa M20!! Serikali kweli mnawapenda Wanyonge.