limbende JF-Expert Member Joined May 14, 2013 Posts 1,038 Reaction score 621 May 23, 2019 #1 Wakuu nadhan hamjambo Naomba Msaada wa kujua jins gan nitaona safari chanel kwenye simu Kama TV zingine maana nikiingia kwenye download application ya tbc siipati msaada wenu kwa wajuaji hili. Kuuliza si ujinga Asanten
Wakuu nadhan hamjambo Naomba Msaada wa kujua jins gan nitaona safari chanel kwenye simu Kama TV zingine maana nikiingia kwenye download application ya tbc siipati msaada wenu kwa wajuaji hili. Kuuliza si ujinga Asanten