Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,249
- 79,583
ukiwa na jirani choko hata ukiwa una-shave ndevu au unapiga mswaki na mashine atafikiri unatumia vibrator yake! Mi nimependa hii sheria nawangoja violaters waje!Hata mimi nimeshangaa sana, sheria hii ni kwa ajili ya matumizi yetu humu humu nchini, vipi iwe ni habari katika nchi ya jirani?. Sikumbuki hata siku moja kusoma au kusikia chombo chochote cha Tanzania kutangaza kuhusu sheria za Kenya zinazohusu sheria za matumizi bora ya ardhi yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wako busy ku-sabotage Tanzania's interest in their sinister attempts to change a port to a warehouse!
Sijui cha ajabu ni ni hapo? Uanahabari wa wakenya ambao wamebobea kwenye taaluma yao hio au habari za sheria zao ambayo ni biashara zao wao wenyewe? Wafugaji kutoka Tz wanakamatwa kila mwaka ndani ya mbuga la Tsavo, ila hio kwa wakenya sio issue ya kujipiga vifua. Sheria zipo na wafugaji ni wale wale na tabia zao zinafanana kote duniani. Kwa mfano kuna hawa wafugaji 18 kutoka Tz na mifugo yao 2,500 ambao walikamatwa wakizilisha ndani ya mbuga ya Tsavo West, Kenya. https://allafrica.com/stories/201411170308.htmlkumbe ni Giza Ulole
Kwanini jambo linalohusu Tanzania kupanga sheria zake zinazohusu ndani ya mipaka yake, ambazo haziwadhuru wageni kwa hali yoyote ile iandikwe katika vyombo vya habari vya nchi ya nje tena kwa urefu?, hivi sheria ya matumizi bora ya ardhi ya Tanzania inawahusu vipi wakenya?Sijui cha ajabu ni ni hapo? Uanahabari wa wakenya ambao wamebobea kwenye taaluma yao hio au habari za sheria zao ambayo ni biashara zao wao wenyewe? Wafugaji kutoka Tz wanakamatwa kila mwaka ndani ya mbuga la Tsavo, ila hio kwa wakenya sio issue ya kujipiga vifua. Sheria zipo na wafugaji ni wale wale na tabia zao zinafanana kote duniani. Kwa mfano kuna hawa wafugaji 18 kutoka Tz na mifugo yao 2,500 ambao walikamatwa wakizilisha ndani ya mbuga ya Tsavo West, Kenya. https://allafrica.com/stories/201411170308.html
Unashangaa media za jirani yako kenya kutangaza ila hushangai BBC au CNN zikitangaza mambo ya Tanzania...Hata mimi nimeshangaa sana, sheria hii ni kwa ajili ya matumizi yetu humu humu nchini, vipi iwe ni habari katika nchi ya jirani?. Sikumbuki hata siku moja kusoma au kusikia chombo chochote cha Tanzania kutangaza kuhusu sheria za Kenya zinazohusu sheria za matumizi bora ya ardhi yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia akili vizuri, BBC haiwezi kutangaza kuhusu sheria za nchi kuhusu matumizi yao ya ardhi, hivyo ni vyombo vya kimataifa lazima habari iwe kwa na uhusiano na mataifa mengine, mfano ni kama nchi inapanga sheria inayokiuka sheria za kimataifa, japo ni sheria inayohusu ndani ya nchi, lakini inagusa mikataba ya kimataifa.Unashangaa media za jirani yako kenya kutangaza ila hushangai BBC au CNN zikitangaza mambo ya Tanzania...
Sent using Jamii Forums mobile app
The EastAfrican ni regional newspaper, inaandika kazi wanahabari kutoka EAC na inawapatia creative freedom ya kuandika habari za nchi wanazoishi alafu wanatuma hizo habari kwa the eastAfrican, Wanahabari wanalipwa kulingana na kama wanatuma ripotin ngapi kwa tovuti... Alieandika hio habari ni BOB KARASHANI ambaye ni mtanzania anaeishi Tanzania! Hakulazimishwa na mtu kwahivyo usiingize Kenya hapo!Hata mimi nimeshangaa sana, sheria hii ni kwa ajili ya matumizi yetu humu humu nchini, vipi iwe ni habari katika nchi ya jirani?. Sikumbuki hata siku moja kusoma au kusikia chombo chochote cha Tanzania kutangaza kuhusu sheria za Kenya zinazohusu sheria za matumizi bora ya ardhi yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah, safi sana jibu lako lime'toklezea' saaana. Umenifanya nikumbuke ile mijadala ambayo tulikuwa tunafanya tukiwa shuleni. Hoja zilikuwa simpo sana, k.m. Nani bora, mama au baba? Ila tulikuwa tunashambuliana kwa point kali kali alafu kila upande ulikuwa na majemadari wao kama wewe.Unashangaa media za jirani yako kenya kutangaza ila hushangai BBC au CNN zikitangaza mambo ya Tanzania...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ni mtanzania mwenzao. Utawajua tu wale ambao hawajasoma hata sentensi moja ya taarifa hiyo, wanasema jamaa analalamika. Sijui inakuwaje ripota au mwandishi akiandika taarifa kuhusu tukio flani inasemekana kwamba analialia? Wakati jamaa yupo kazini akiendeleza taaluma yake, ni ukichaa flani hivi wa sayari nyingine.The EastAfrican ni regional newspaper, inaandika kazi wanahabari kutoka EAC na inawapatia creative freedom ya kuandika habari za nchi wanazoishi alafu wanatuma hizo habari kwa the eastAfrican, Wanahabari wanalipwa kulingana na kama wanatuma ripotin ngapi kwa tovuti... Alieandika hio habari ni BOB KARASHANI ambaye ni mtanzania anaeishi Tanzania! Hakulazimishwa na mtu kwahivyo usiingize Kenya hapo!
Huwa wakati mwengine tunalazimika kunyamaza kwasababu tunawajua ninyi mlivyo na akili ndogo, muulize akupe ushahidi kama huyo jamaa ni mtanzania, kwa jinsi hiyo habari ilivyoandikwa, 80% chance" huyo jamaa ni mkenyaKumbe ni mtanzania mwenzao. Utawajua tu wale ambao hawajasoma hata sentensi moja ya taarifa hiyo, wanasema jamaa analalamika. Sijui inakuwaje ripota au mwandishi akiandika taarifa kuhusu tukio flani inasemekana kwamba analialia? Wakati jamaa yupo kazini akiendeleza taaluma yake, ni ukichaa flani hivi wa sayari nyingine.
Sawa akili kubwa, kama upo LinkedIn fanya search uone kama sio mwanahabari kutoka Tz. Media Solutions Ltd- Tz.Huwa wakati mwengine tunalazimika kunyamaza kwasababu tunawajua ninyi mlivyo na akili ndogo, muulize akupe ushahidi kama huyo jamaa ni mtanzania, kwa jinsi hiyo habari ilivyoandikwa, 80% chance" huyo jamaa ni mkenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka ushahidi hapa hadharani kila mtu aone kama una ushahidiSawa akili kubwa, kama upo LinkedIn fanya search uone kama sio mwanahabari kutoka Tz. Media Solutions Ltd- Tz.
sasa unalalamika nn? kama unajua sheria ni kitu cha kawaida?Sijui cha ajabu ni ni hapo? Uanahabari wa wakenya ambao wamebobea kwenye taaluma yao hio au habari za sheria zao ambayo ni biashara zao wao wenyewe? Wafugaji kutoka Tz wanakamatwa kila mwaka ndani ya mbuga la Tsavo, ila hio kwa wakenya sio issue ya kujipiga vifua. Sheria zipo na wafugaji ni wale wale na tabia zao zinafanana kote duniani. Kwa mfano kuna hawa wafugaji 18 kutoka Tz na mifugo yao 2,500 ambao walikamatwa wakizilisha ndani ya mbuga ya Tsavo West, Kenya. https://allafrica.com/stories/201411170308.html
hata mimi nimepiga mahesabu kwa sheria hii niKa0na ni upuuzi mtupu na kukosa akili. sasa mumeshindwa kukusanya pesa za ''ndani kwa ndani'' (au hata pengine hakuna) mukaamua kuenda international, sio?mnalalamika kwa sababu mlifikiri TZ ni shamba ka bibi.nimepiga mahesabu kwa sheria hii tutapata pesa nyingi mkijichanganya mkaingia kichwakichwa!imewauma.