Walitoa chini ya utumishi au wao kama wao?
Jamaa anataka maswali ya written interview sio story.Nilifanikiwa kufika mpaka tatu bora...namkumbuka yule HR wa kipindi hiko akaniomba rushwa nikamtosa
Interview ilianzia jengo la elimu ya watu wazima, watu kama 2000, then tukapiga pepa wakasema wataita watu 10 bora kupitia simu.
Kweli jioni yake nikaona namba ya 022...inaingia wakasema umechaguliwa kwenye oral kesho pale posta makao makuu opposite mambo ya ndani.
Tulikua 10 , wakahitaji watatu, ..nilikua wa mwisho (namba 10) ...majibu yakatoka...HR akaniita pale kwenye ofisi yake anataka rushwa ya laki tatu otherwise atampa mtu mwingine nafasi.
Nikamwambia rushwa sitoi sababu sina hela.
Kweli akanipiga chini..nikajionea poa tu...nikaenda chuoni kusoma bachelor ya law ili nije kuwakomesha watu kama hawa.
Baadae niliambiwa yule HR alihamishwa kituo..akashushwa cheo.
Alikua mweusi, kimo cha kawaida..sio mrefu sana..alikua anapenda vaa miwani...na suti all the times.
Kama posta wamehamisha mchakato wao utumishi safi sana.
Naficha mwaka sababu walioingia kazini mwaka wangu bado wapo kwenye ajira..wasije wakasitishiwa ajira zao.
Mpe weweJamaa anataka maswali ya written interview sio story.
We jamaa si umesema umeshawahi fanya interview TPC 😦 Hadi tatu bora ulifika!!! Sasa kwanini usitoe msaada hata overview ili mwenzako ajiandae vizuri.Mpe wewe
Mnapenda slope nenda kaonyeshe uwezo wako sio watu wakuibie ronjaWe jamaa si umesema umeshawahi fanya interview TPCHadi tatu bora ulifika!!! Sasa kwanini usitoe msaada hata overview ili mwenzako ajiandae vizuri.
Wewe si ndio nimeona kwenye Uzi mmoja unauliza Kama mtu anataka kukutapeli kwa kua kakwambia umtumie helaWe jamaa si umesema umeshawahi fanya interview TPCHadi tatu bora ulifika!!! Sasa kwanini usitoe msaada hata overview ili mwenzako ajiandae vizuri.
Hii sio sifa ya mwanaume mambo unayoleta ni ya kike, hamna mtu alie lazimishwa kutoa msaada kama hautaki bora ukaushe au kama haujui kausha sio kuanza kuringisha idea.Wewe si ndio nimeona kwenye Uzi mmoja unauliza Kama mtu anataka kukutapeli kwa kua kakwambia umtumie hela
Ni kweli mtatapeliwa Sana Kama mnapenda slope ukitaka usitapeliwe nenda na uwezo wako achana na kutafuta mtu wa kukubeba
Onyesha uwezo wako harisi ili usije ukatinyanga kazi za watu ACHANA NA SLOPE
Ulikua umeisha ingia kingi Kama raia wasinge kutoa ulishaning'iniaHii sio sifa ya mwanaume mambo unayoleta ni ya kike, hamna mtu alie lazimishwa kutoa msaada kama hautaki bora ukaushe au kama haujui kausha sio kuanza kuringisha idea.
Alafu mtu akipost hoja humu JF haimaanishi ni kilaza...posts zingine ni useful for future wanaweza wakaja wenye uhitaji wakakuta qoute yoyote zikawasaidia. So message ile niliiweka makusudi, acha ushamba.
elewa Kuhusu EMS, priority mail, Economic mail, posta mlangoni,other services offered by posta ,out of mails, gonga research Design kalaleWadau nimeitwa kwenye interview katika position ya Postal Officer II, tusaidiane wapendwa possible questions za written, asanteni
Hio ilikuwa part ya usaili kukupima, usingesema sina pesa ungesema pesa ninayo lakini siwez kutoa rushwa maana ni adui wa haki na maendeleo. Sasa hv ungekuwa unapiga kaz pale kaka.Nilifanikiwa kufika mpaka tatu bora...namkumbuka yule HR wa kipindi hiko akaniomba rushwa nikamtosa
Interview ilianzia jengo la elimu ya watu wazima, watu kama 2000, then tukapiga pepa wakasema wataita watu 10 bora kupitia simu.
Kweli jioni yake nikaona namba ya 022...inaingia wakasema umechaguliwa kwenye oral kesho pale posta makao makuu opposite mambo ya ndani.
Tulikua 10 , wakahitaji watatu, ..nilikua wa mwisho (namba 10) ...majibu yakatoka...HR akaniita pale kwenye ofisi yake anataka rushwa ya laki tatu otherwise atampa mtu mwingine nafasi.
Nikamwambia rushwa sitoi sababu sina hela.
Kweli akanipiga chini..nikajionea poa tu...nikaenda chuoni kusoma bachelor ya law ili nije kuwakomesha watu kama hawa.
Baadae niliambiwa yule HR alihamishwa kituo..akashushwa cheo.
Alikua mweusi, kimo cha kawaida..sio mrefu sana..alikua anapenda vaa miwani...na suti all the times.
Kama posta wamehamisha mchakato wao utumishi safi sana.
Naficha mwaka sababu walioingia kazini mwaka wangu bado wapo kwenye ajira..wasije wakasitishiwa ajira zao.
Hio ilikuwa part ya usaili kukupima, usingesema sina pesa ungesema pesa ninayo lakini siwez kutoa rushwa maana ni adui wa haki na maendeleo. Sasa hv ungekuwa unapiga kaz pale kaka.
Oral interview ni very technical.