Evan misheboy
Member
- Aug 4, 2013
- 13
- 0
Wadau nimepigiwa simu jumamosi interview written imekaa vpi ebu tiririkeni....!
mkuu ulifikiri unataka kupigawa kirungu na demu wakoDuh ulipigiwa simu waliku heshimu sana mi nimetumiwa message kidogo nijue ya demu wangu kumbe interview..cha msingi tujue hio written ni maswal ya aina gani aptitude test au ndo ya darasani maana hawasomeki hawa...!