Tanzania postal bank - relationship officer

Tanzania postal bank - relationship officer

nash koba

Member
Joined
May 9, 2012
Posts
47
Reaction score
6
Wapendwa, naomba kujuzwa kwa mwenye any updates kwa post walizotangaza (12th February, 2014) hawa jamaa wa TPB walisha ita watu kwa ajili ya interview au tayari people zipo kazini? kwa anaejua. nawasilisha


 
Nina rafiki yangu aliitwa kwenye hiyo interview wiki moja imeshapita
 
Kuna mhusika wa hapo kaniambia wameita baadhi ya post ila hizo za customer service bado
 
Back
Top Bottom