Tanzania online parliament

TANURU

Senior Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
162
Reaction score
9
Wakuu,

Kwa kuwa Wabunge wetu (hasa wa CCM) wametuangusha sana kwenye masuala mengi ya kitaifa naomba tuanzishe hilo Bunge hapa.

Mods na wajuvi wengine watusaidie kwa namna gani bora tunaweza kuliendesha na kuleta ufanisi wa hali ya juu na kuwa na impact kubwa katika nchi yetu.

Kama wazo hili litakubalika ni muhimu kuhakikisha kuwa kila shule na chuo wanalijua hili Bunge la kwenye mtandao.
 
I support the motion kwanza tujadili liwe na ukubwa gani i mean liwe na wabunge wangapi halafu tutapendekeza majina kutumia hizi hizi IDs zetu watajieleza watakaochaguliwa watamchagua spika wao ni maoni tu.
 
What ru talking about? Linaundwa kwa Sheria ipi?
 
Wabunge wa CCM wametuangusha? How? Wametuangusha kutoka point ipi iliyoko juu (and how high?) hadi kufikia chini. Tumewakosea nini?Tulikuwa tunacheza nao mpira? Au rugby? Au? Please elaborate.
 
na mimi hapa ndio MHE. SPIKA wa Bunge tarajiwa.
 

Tena la hapa litakuwa halina mambo ya kusinzia sinzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…