Najijua JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 1,040 Reaction score 182 Apr 8, 2011 #1 Naomba mnisaidie kujua kama taifa hili ni la watu wachache tu jamani?ona mustakabali wa katiba mpya unavyopelekwa kwa kukidhi mahitaji na utashi wa kundi fulani tu
Naomba mnisaidie kujua kama taifa hili ni la watu wachache tu jamani?ona mustakabali wa katiba mpya unavyopelekwa kwa kukidhi mahitaji na utashi wa kundi fulani tu
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,679 Reaction score 4,381 Apr 8, 2011 #2 mkuu tumeshatambua hilo ccm watavuna wanachokipanda sasa we subiri tu uone!