benaboy Member Joined Oct 24, 2015 Posts 42 Reaction score 32 Dec 16, 2017 #1 Ndiyo nchi yangu, sehemu niwezayo kuiita nyumbani kwa amani... Sehemu ambayo kuna amani na mibaraka ya utulivu kutoka kwa muumbaji wetu( Mungu wa mbinguni). Tuitunze nchi yetu ,tupendane,tutokomeze vita na chuki. Mungu ibariki Tanzania.
Ndiyo nchi yangu, sehemu niwezayo kuiita nyumbani kwa amani... Sehemu ambayo kuna amani na mibaraka ya utulivu kutoka kwa muumbaji wetu( Mungu wa mbinguni). Tuitunze nchi yetu ,tupendane,tutokomeze vita na chuki. Mungu ibariki Tanzania.