G goodlucksanga Senior Member Joined Nov 8, 2011 Posts 144 Reaction score 28 Feb 8, 2013 #1 Hii nchi imejaa watu waongo watupuu 1.Jakaya Kikwete ,Ajira za Walimu zitakuwa out january 2013 leo feb 8 kimya 2.NECTA ,Matokeo ya form 4 (2012) yatakuwa out 8 feb 2013 mpaka sasa na website yao ipo suspended 3. 4.
Hii nchi imejaa watu waongo watupuu 1.Jakaya Kikwete ,Ajira za Walimu zitakuwa out january 2013 leo feb 8 kimya 2.NECTA ,Matokeo ya form 4 (2012) yatakuwa out 8 feb 2013 mpaka sasa na website yao ipo suspended 3. 4.
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 Feb 8, 2013 #2 Sema serikali...
E environmental JF-Expert Member Joined Oct 11, 2010 Posts 1,054 Reaction score 137 Feb 8, 2013 #3 hiyo sio serikali ni kwaya.
kbm JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 5,224 Reaction score 1,685 Feb 8, 2013 #4 ... Serikali ya chama cha...
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 Feb 8, 2013 #5 environmental said: hiyo sio serikali ni kwaya. Click to expand... Hapo sawa, kila watakachojiskia kuimba sawa tu
environmental said: hiyo sio serikali ni kwaya. Click to expand... Hapo sawa, kila watakachojiskia kuimba sawa tu