Tanzania nchi inongozwa na matukio

Bururu

JF-Expert Member
May 21, 2016
877
584
Nchi yangu Tanzania inaongonzwa ma matukio ya kutengenezwa na natural(matukio halisia kama mafuriko, kimbunga n.k). Kwa upande wa matukio ya kutengenezwa na viongozi ili kwenda na upepo wa kisiasa yamekuwa mengi sana.

Kwa mfano babu wa Loliondo, ugonjwa wa Dengu, Bashite, enzi ya Mrema, Ben saanane, ugonjwa kuzushiwa, njaa na madawa ya kulevya, Bunge live, Epa,Escrow.
yote hii huwa ni kuamisha akili ya Mtanzania kutoka tukio 1 kwenda jingine wakati huo mda unaenda.Migomo ya kutengenezwa nk nk.

Siku zitafika za uchaguzi hakuna shule, hakuna viwanda, huduma za afya mbovu, miundombinu mibovu miaka nenda miaka rudi. Ni lini haya yatakwisha na kufanyiwa maendeleo ya kweli? Tanzania na Watanzania ni lini yatakwisha haya?
 
Back
Top Bottom