VUA GAMBA VA GWANDA
Member
- Jul 25, 2013
- 12
- 0
Ni dhahili kuwa Tanzania ya mwaka 1hali964 na ya 2013 ni tofauti sana katika hali nzima ya kisiasa na utumishi wa umma, zamani katika serikali kulikuwepo uwajibikaji kwa viongoz na watwaliwa hali iliyobaki sasa hvi katika medani za siasa ni kujinufaisha kwanza kisiasa haliinayofanya utawala bora kusahaulika na kufanya umimi katika siasa. Enzi za baba mwl Nyerere hakuna kiongoz ambae alikuwa anahujuma za kisiasa yaani mwananchi alipewa kioaumbele sawa na kiongozi wake kitu ambacho kuanzia miaka ya 90 kimeonekana kutozimgatiwa na viongoz wa sasa hivi. Mi naomba serikali ijirudi kuangalia wapi imenikwaa ili kurudisha hali ya usawa kwa wananchi ambao wamesahaurika kwa asilimia mkubwa. Nawasilsha.