Biashara kubwa ya ma homeboy south ni ndumu na ngada sasa wale wa south wanachukulia huko bongo sio poa huwenda kuna masoko kabisa ya hayo maswalaJamaica ni kwa ajili ya Bob Mareale na Peter Tesha. Tanzania ni kutokana na akina nani?
Nimeishi jo'berg over yearAcha uongo
Biashara kubwa ya ma homeboy south ni ndumu na ngada sasa wale wa south wanachukulia huko bongo sio poa huwenda kuna masoko kabisa ya hayo maswala
South Africa ipi hiyo wanaomini tanzania bange kama sigaraNimeishi jo'berg over year
Nna wana kibao wasouth sio mmoja wala wawili waliohisi hivyo na kuniuliza
Bwege: umewahi kuitembelea hiyo nchi?South Africa ipi hiyo wanaomini tanzania bange kama sigara
Naishi mwaka wa kumi sasaBwege: umewahi kuitembelea hiyo nchi?
Naishi mwaka wa kumi sasa
Dah tuishie hapa inavyooneka we umeahadithiwa.. mm najua watu ambao hawaijui kaburu kila kitu wanajifanya wanajua. Hata mm nilikuwa hivyo kabla.Me nimesukuma sana kazi hapo nikisema kazi unanielewa na wadau kuanzia wazawa, wapopo zims tunapiga stories sana na mtu anakuwa natazamo flani kuhusu bongo na anatamani Siku moja afike ajionee lakini unamprove wrong kwamba bongo haiko hivi sio mmoja wala wawili walionimbia hv
Huwenda una miaka kumi hapo labda unafundisha kiswahi shuleni huwezi ukaelewa
Hii kitu hadi jpm ameiruhusu unadhani n mchezo ila kasema tule kwa kujificha[emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23] halafu kuna wasoro wanaiponda na hawajawahi hata kumoka dawa arifu.
Kipande ya tz waree wengi sana.