M Mata Mtanzania Member Joined Jun 7, 2013 Posts 63 Reaction score 7 Oct 3, 2013 #1 Ni tatizo sugu sasa limekuwa kwa upande wa ajira hii ndiyo imekuwa kasumba kwa baadhi vijana kubeba vimemo kama ndiyo gate pass na utambulisho wao. kwa hii tabia nchi inaendelea kukosa nguvu kazi imara yenye kuwa na tija. nasema ikomeshwe
Ni tatizo sugu sasa limekuwa kwa upande wa ajira hii ndiyo imekuwa kasumba kwa baadhi vijana kubeba vimemo kama ndiyo gate pass na utambulisho wao. kwa hii tabia nchi inaendelea kukosa nguvu kazi imara yenye kuwa na tija. nasema ikomeshwe