Mtahakikisha vipi kwa kufanya hivyo sababu kama mkiweka mgombe urais na ubunge hamuoni kwamba mta-dilute kura za upinzani kwanini ndio msiform chama lakini kabla ya uchaguzi mseme kabisa sisi tunaunga mkono 100% chama cha upinzani X.., mkishangoa serikali ndio mtarudi na kufuata sera zenu..., sababu hapa hata mkiwa wazuri vipi kwa kugawana hizi kura za upinzani nyote mtabaki kuwa wapinzani na sio chama tawala