Tunaona mbwa akiona chatu sikuzote anamkimbilia kwa kumlilia,lkn kumbe ndiyo mwisho wake wa uhai,chatu akiona hivyo ananyamaza tu anakuwa mpole anasubiria hatima ya kujipatia kitoeo,ni kweli mbwa hanaga la kufanya kwachatu,zaidi kusubiri hukumbu ya kuvunjwavunjwa na kumezwa kabisa,Chama kilichoko madarakani na mfumo wake uliyopo,kinafananishwa na mbwa anapomuona chatu,hivyo matukio tunayoyaoba ya mapungufu makubwa ya maadili kwa kutimiza matakwa binafsi kwa viongozi na mmfumo mzima,ni dalili za kumezwa na busara za wachache wenyeiwezo ws hoja na tafsiri ya utawala bora kwa raia wa Tanzani na vizazi vijavo,na ni kwamba hili haliepukiki mfumo wao ni mmbovu,wanatumia sasa mamlaka hata kunyanyasa raia kupora fedha kwa nguvu barabarani,kwa madereva wa magari yote na bodaboda,wakijua ni Daresalaamu tu,kumbe sumu hii inaenea kwa wa watu wote wanaohitajika kukipa chama nafasi,na kukinyima pia,kazi ni moja jamani tuvumilie kazi imeisha.