Ni wajibu wa kila mtanzania kuilinda na kuiheshimu nchi yetu(kiusalama na kiuchumi),hakuna mtu kutoka nje atakayeweza kuilinda nchi yetu. Tufuate sheria na taratibu zilizowekwa,kama hujui jambo lolote uliza kwa wakubwa na viongozi wetu.Tusipotoshwe na watu wachache wenye masilahi binafsi kuuvunja uzalendo wetu na Amani kiujumla,Amani ikipotea ni janga lisilo na mtetezi. TUIJENGE NCHI YETU KWA KUFANYA KAZI NA KUJISHIGHULIKA KWA FULSA TOFAUTI TOFAUTI.Itakuaje Tanzania ikawa kama LIBYA? ama SUDAN KUSINI? MUNGU IBARIKA TANZANIA.. ISHI NA MIMI