Tanzania kuna visima vya mafuta kama tulivyoaminishwa na IGP Sirro?

Kila akiambiwa na mawakili wa serikali kua mzee zamu yako imefika ya kutoa ushahidi wa ugaidi wa mbowe, jamaa anakua mkali hataki kusikia habari za kwenda mahakamani
 
SIRO sio wa kumchukuliah Serious.Wakati mwingine anapitiwa.
 
Unajua kiswahili wewe? Unajua maana ya kisima? Tank linawezaje kuwa kisima? Ni sawa na kusema bakuli ni glass
 
Ni Kijiji gani hicho tank la maji wanaita kisima? Acha kutetea ujinga wewe
 
Kama kuna kitu hukijui, haimaanishi hakipo. Tanzania tuna visima vya mafuta vingi sana tena kila mji,mkoa na kijiji. Nadhani mleta mada na wanaomuunga mkono mawazo yenu kisima cha mafuta, kwenu nyie ni kile kinacho chimbwa mafuta tuu.

Apana visima vinavyozungumziwa ni vile vya kuhifadhi petroli na diesel. Na hivyo vinapatikana pahali pengi nchini na vinatofautiana kwa ukubwa wao, kwa kiasi cha mafuta yanayoweza kuhifadhiwa. Kila Petrol Station kina visima takriban 2, kutegemeana na mahitaji yao.
 
Apana visima ni vyote ulivyovitaja, vya kuhifadhi petroli na vya kutoa mafuta ghafi, vyote visima
 
He simply meant kulipua petrol stations
 
sorry hivi unaeza kuitwa kuwa shahidi bila kukubali ? mahakama inakulazmisha au ? usipofika kuna adhabu ? nataka kujifunza tu...
Kwa uelewa wangu agizo la mahakama ni amri ukigoma nadhani unapata msala, hata wewe pale mahakamani ukizingua Hakimu anaweza kukuadhibu pale pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…