tanzania kuna huduma ya USPS?

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
5,122
Reaction score
9,223
wadau naomba kuuliza hivi tanzania kuna kampuni ya USPS? na kama ipo ofisi zao kwa hapa dar zipo maeneo gani?
kuna BIDS nimeshinda so nimeona kwenye invoice wameandika kuwa wata fanya shipping kwa hiyo kampuni ya USPS ndio nikawa najiuliza bongo ipo kweli hii??
 
You'll probably get it through EMS, just go to the post office(they have EMS offices there in Dar i guess). Usually shipping through USPS takes a maximum of 5 days so if it was shipped more than 5 days ago, you should be able to get it. Don't forget you will be taxed so carry some money with you when you go there. LEGE
 
Last edited by a moderator:


USPS ni United States Postal Services na wanatuma mzigo kupitia shipping address uliyojaza wakati waanza kufanya bidding.
Kama ni mzigo ulikuwa wanunua kwa mnada online mfano ebay, kabla hujaanza fanya bidding lazima ufungue akaunti utakayojaza info kama majina, payment info kama ni paypal au utatumia visa au mastercard, pia utajaza shipping address.
ukishinda bid yoyote, ebay watamwagiza muuzaji kukutumia mzigo na watampa shipping address yako.
nae atatuma kwa box number yako popote utakapokuwa as long as alisema hiyo product yake anafanya worldwide shipping.
 
USPS ni kama tunavoweza kusema posta kwa hapa Tanzania.Kama walivowatangulia wachangiaji wengine isikusumbue kama unamzigo USPS watakuletea moja kwa moja kwenye anwani ya posta uliyoielekeza hiyo kampuni kufanya mawasiliano na wewe.kwa hiyo mzigo wako utafikia posta.
 

Lazima ujue kwamba kuna USPS grade nyingi na nyingi zinazotumika eBay sijawaona kama ni Express Mail hivo kufika within 5 days sijui
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…