Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 770
- 1,898
Tanzania ni kati ya nchi za Duniani ambayo ina unafuu mkubwa wa maisha na fursa lukuki ukilinganisha na mataifa mengine, ni kutuliza tu akili yako kusaka ramani.
Wapo vijana ambao wanadanganyana kwamba ukizamia SA au mamtoni Life linakuwa kitonga.
Nilikuwa naangalia makala ya chombo kikubwa cha habari, Taifa la Marekani jiji la NY lina watu wanakadiriwa 650 wanalala nje hawana nyumba, sasa wewe baharia jichanganye uzamie huko huna mjomba wala shangazi, utajua hujui.