Tanzania kuna Demokrasia

DxR

Member
Joined
Jun 5, 2015
Posts
71
Reaction score
39
Kama NDIO tetea jibu lako
Kama HAPANA tetea jibu lako
 
Hapana . Tuna DOMOKRASIA na sio DEMOKRASIA. Ndio maana yule mpigaDOMO mkuu wa CCM akapewa Uwaziri wa Habari!
 
Ni kitu gani kwanza hiko mimi sijawai kukiona ni kinywaji au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…