Wana bodi,
Ninawaomba serikali ya Tanzania iandae pongezi kwa Marekani kwa kupatikana Rais wa 45 wa taifa hilo kubwa na lenye demokrasia pana.
Tangu kuchaguliwa kwa Rais Magufuli hajawahi kutembelea katika taifa la Marekani kwa kipindi ambacho Rais wa Marekani amekuwa bwana Obama labda sasa kwa kuwa bwana Donald Trump ndiye Rais mtarajiwa huenda ndugu yetu na Rais wetu Magufuli atatembelea taifa hilo.
Binafsi nampongeza bwana Donald Trump kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa 45 wa Marekani na huenda kuchaguliwa kwake kukaleta demokrasia iliyokufa katika nchi zetu za kiafrika.
Swelana aka umtinki.