Tanzania is not, won't ever become a nation of animals


He he he..degree za internet? do i sound like the one with those?..labda kutilia msisitizo more than 95 % of Kenyans have not and will not MATCH MY academic credentials , sio wewe tu..he he he..

Ok labda tuone 'taifa lililoendelea' zaidi EA linawekezaje kwene elimu? Google doesn't lie.
 

Attachments

  • Kenya_class.jpg
    174.2 KB · Views: 46

Sisi sote tuna hayo matatizo hapo juu, umaskini uko kote Africa, hio si bishi, lakini ujinga na uvivu umekidhiri Tanzania na itawaharibu kama nchi, am just saying.
Na usitishe watu na academic credentials, na jua you are among the handfull waliosoma, you dont have to rub it in.. na hiyo avatar yako yatia kichefuchefu.
 

Sasa umekuja umejaa...lolz.

Miafrika bana!
 
As a Tanzanian I am not bothered by any derogatory utterences coming from Kenyan bloggers attempting to belittle us.

India and China have made huge advances in science and technology but because the benefits trickle to a tiny minority of their populations, probably less than one percent, they are considered third world.

If India and China were a million rungs higher up the proverbial economic ladder above Kenya, Tanzania could PROBABLY be one rung below Kenya. Only a bumbling fool in Kenya would be proud of such an achievement. Those who are more enlightened will realise that the two poor countries are at the same level economically and any trivial statistical differences are irrelevant.

Both Kenya and Tanzania have a very very long way to go economically.
 

Omarilyas,

..nadhani wewe ni miongoni mwa viongozi wa Tanzania mnaouliza wrong questions ktk kutafuta majibu ya matatizo yetu.

..labda tungeanza kujiuliza Kenya imeweza vipi kuwa dominant ktk uzalishaji viwandani bila kuwa na resources tulizo nazo sisi na soko/population kama la kwetu.

..wenzetu hawa wanaingia EAC with an economic agenda sisi tunaingia huko kwa kufuata Pan-Africanism tu.
 
We tanzanians are like a virgin girl fearing to be deflowered....soon or later we will have to agree to intergrate as this is the future....no country can go it alone...even china is what it is because of foreign investments....wanasema umoja ni nguvu...
 
FACT: Unless the EAC becomes attractive to Tanzania.. it wont happen.
FACT :Unless the EAC becomes attractive to Tanzania leaders.. it wont happen. And I guess you know how easy it is to put a politician in your pocket..
 
Hawa wakomunisti know nothing sijui wana shida gani,ukiwauliza why EA is bad for TZ? wengi wao watakuambia Kenyans wako very arrogant na TZ kuna minerals nyingi kuliko wote...BS tupu hawa na ni very same people pale Hill(UD) walikuwa wana debate dual citizen with majority of them opposing for a reason of s-tupid Nationalism,wengi wao bado wanaamini mashirika ya umeme na ndege yawe ya serikali kwa sababu ya usalama wa Taifa,good thing hakuna mtu anawasikiliza hawa zaidi ya kuja humu na kupiga kelele tuu na wengine kwenye editorial tuu,EA ipo tayari and will get stronger..long live EA!
 
Mwalimu Nyerere aliwaita Kenya MANYANG'AU!Nimebahatika kukutana na Wakenya wa makabila yote makubwa,Wakikuyu,Wajaluo ,Wakamba na Wakisii.Kwa hiyo tunaposema Kenya,tujue ni Wakikuyu Vs Makabila mengine wakiongozwa na Wajaluo.

Nitazungumzia Wakikuyu kwanza.Hawa watu wanaringa sana na kuwa na nyodo ,hawaamini mtu yoyote anaweza kuongoza Kenya zaidi ya wao.
Kwa kuwa ni wengi Kenya,tangu enzi za Uhuru,Kenyatta aliwapa kipaumbele baada ya wazungu kuondoka akahakikisha nguzo za uchumi ziko mikononi mwao.Kwa sababu ardhi ya Kenya ni ndogo,wengi wakawa wamehamia Rift Valley ,sehemu za Eldoret kwa akina MOI.Baada ya MOI kuingia aliwazima kidogo,lakini ardhi walikuwa nayo nyingi sana.wakati wa vurugu ya Uchaguzi,nilikuwa na Mkikuyu mmoja,tunaangalia TV huko
Mathare ,akataka kuzima TV maana shame aliona.Mkikuyu amekuwa kibaraka wa UK siku nyingi sana.Kumbuka wakati wa ukombozi wa Kusini,Kenya hata siku moja haikusema lolote.Sir Njonjo na weusi wake huo ,mpaka leo hakubali kuwa ni Real black man!Nyerere hakuwaamini hawa watu hata siku moja Kenyatta na watu wake,maana walikuwa WAZUNGU weusi!Kumbuka Kenyatta alipiga box non stop miaka kama 15 UK,miaka ya 1931 hadi 1946 akazaa na Mzungu .Wakikuyu ni selfish,wana ukabila mkubwa sana!Ni mabepari uchwara!

Tuje kwa Wajaluo!Mjaluo ni fair,yeye anapenda shule,sio corrupt na hana ukabila na majivuno kama ya Mkikuyu.Nyerere aliwajua hawa.
Tulipitia jeshini ,hebu jiulizeni kwa nini tulimwimba TOM MBOYA wa Kenya na sio Kenyatta???????Kila mtu anajua kama TOM MBOYA na Dr ROBERT OUKO walikuwa gifted politicians na waliuliwa kikatili ,mpaka leo hakuna mtu alihukumiwa kwenda ndani.Angalieini kwenye google:Tom Mboya mwaka 1959 akiwa Washington DC na Dr Martin Luther King.

Vague ya uchaguzi wa Kenya,ni kutokana na Mikuyu kujifanya yeye ni zaidi.I am sure ndio hawa wanaikashifu nchi yetu.Namfahamu Mkikuyu mmoja he was not happy OBAMA alipochaguliwa,maana alisema itawapa jiko Wajaluo.Kwa hiyo chuki ya hawa wati ni beyond.Baba yake Obama alikuwa best na Tom Mboya!

Kwa hiyo tuwajue hawa majirani wetu vizuri,hii EAC ni bogus,sisi tujali mambo yetu,tuwe na currency yetu,mipaka yetu.

Hawa ni MANYANG'AU.8 minutes to come,tucheck game ya wabongo wetu na Brazil.Naangalia online!
 

....damn,hizi ndio arguments za ant EA? hawa ndio wanajiita wasomi wa TZ,reasons so weak & juvenille,kweli these sorry azzs hakuna sababu ya kuwasikiliza ni kuwaburuza tuu.
 

Teh, teh, tehhh!
Nani alikwambia udanganye US kuwa wewe ni mkimbizi toka rwanda. Hutarudi tena bongo, utabaki kuongea kwenye majukwaa tu (blogs). Na uraia wa nchi mbili ni ndoto kwa nchi hii.
 
Teh, teh, tehhh!
Nani alikwambia udanganye US kuwa wewe ni mkimbizi toka rwanda. Hutarudi tena bongo, utabaki kuongea kwenye majukwaa tu (blogs). Na uraia wa nchi mbili ni ndoto kwa nchi hii.

....arrogance na elimu yako ya madrasa inafanya any meaningful debate kuwa ngumu humu!
 
Keep lying yourself ! at interest rate double digits how easy can it be to get a loan in Kenya? and when that Emilio with a head like a bill goat and nostrils like a 14 inches pipe tries to make you happy with his sweet speeches never come here and tell us ati did you hear a lame durk saying this and that? otherwise you are a central province person! Here is a place for men! dont underestimate that
 

Well said Ruge, Kenya is nothing but a batch of Uncle Toms a.k.a House niggers!
 
Jokakuu,
wenzetu hawa wanaingia EAC with an economic agenda sisi tunaingia huko kwa kufuata Pan-Africanism tu
Hapo ndipo akili yangu inapogoma kukubali kufikiria zaidi EAC...Kibaya zaidi hatukuwaita Manyang'au kwa utani tu ila kweli walituibia malinyingi za EAC tukiwa tumelala.

Wanabodi,
Nikirudi nyuma, Uhasama baina yetu na Kenya haswa ulianza baada ya sisi kumpa support Tom Mboya..Wakikuyu na Kenyatta mwenyewe hakupenda kabisa na uhasama ulianza hata ilifikia wakati tukataka kupigana vita kabla hata ya vita ya Idd Amin..

Hivyo wakuu zangu tuweni makini haya matusi yasitusumbue sana, tunatukanwa na wazungu wakijumuishwa wao Wakenya na weusi wote. Wengine kina sisi ni matusi hayohayo tunayapata kwa Uislaam wetu, kuzaliwa Wakerewe na hata sura zetu, ndivyo binadamu tulivyo!
Muhimu tusipoteze dira kwa hasira bali tucheke kwa sura za bati kama Wachina...Akili Mukichwa..
 
I dont care about EAC,but we need to clean our house first,unaweza kuta majirani zetu wanataka kutufanya the same kama makaburu wanavyofanya nchini mwetu kwa kupitia mafisadi,tuwe makini kwasbabu hata wenye pesa hapo Kenya wengi wao makaburu wale wale,tusiogope muungano ila we should move carefully and especially after cleaning our house....Huko Kenya wengi ni wapiga debe tu lakini wenye mali halis ni mkaburu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…