Tanzania is not a developing country

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,445

Tunadanganywa kama watoto kukubali kuitwa nchi inayoendelea.Ni wizi kwa manufaa ya mafisadi ya ndani wetu na mabepari wa nje
 
Tumerudishwa nyuma na mafisadi.Badala ya kuwa developed tungesema ni the most exploited.
 
Tumerudishwa nyuma na mafisadi.Badala ya kuwa developed tungesema ni the most exploited.

Mkuu,

Sio tu ufisadi bali system nzima inaendesha nchi ime-bae kwenye ubinafsi na capitalism. Capitalism ni tool ya kuwaongezea walio nacho kutoka kwa wasio nacho , theoretically hivo ndivo ilivo.

Few minutes ago nilikuwa kwenye thread ya bei za nyumba Dar na how they skyrocketing senselessly. Chukua mfano wa mtu kajenga nyumba kwa mil 50 halafu anaiuza kwa mil 120. For a capitalist kuweka kibindoni faida ya 70 mil, implies the deprivation and suffering a loss of 70 mil kutoka kwa upande mwingine. Either mjenzi hakulipwa vizuri au mnunuzi amelaliwa etc etc..

The bottom line ni kwamba siasa za kipebari hazitatupeleka kwenye promise land kutokana na ukweli kwamba ni vigumu kila mtu kuwa na maisha mazuri ktk capitalist system.
 

Kaka kweli kabisa yaani tunanyonywa a na mabepari wa nje Lakini tuna mabepari mengine ya ndani yanatunyonya. huyu jamaaa kaandika kitabu hiki miaka ya 1970. Ukitoa matatizo ya exploitation zinazofanywa na mataifa ya nje kuna hii sababu ambayo imesimama mpaka leo.


Inauma kuona hata yale ambayo yako ndani ya uwezo wetu tunayashindwa
 
Nchi yetu imeendelea katika kuongeza majimbo ya ubunge yasiyokuwa na tija kwa taifa na wananchi wake
 

Asante sana bro kwa kuweka hicho kipande. Kipande kimejitosheleza na kina mambo mazito ambayo niliyajua lakini yamekuwa more clear now.

Mathalan suala la kueka kipaumbele ktk sekta ambazo zinawagusa wengi ambazo kweli zinawezaz kuinua hali ya maisha ya watu.. Mathalan kilimo na viwanda vinavyohitajika kuprocess hizi products, unakuta kwa kiasi kikubwa bado hakuna link. Pia hatuwezi kuendelea bila viwanda..in contrary sisi tunauza viwanda kwa wahindi, ambao wanaviua, wanawa-underemply watu wetu na kuwa-exploit ktk kiwango cha kutisha.

Pia nakumbuka kwenye awamu, TRA walitangaza kupanda kwa makusanyo kwa mwezi. Lakini Che Mkapa alitumia mapato yale kulipia madeni ya nje ili kuwa 'taifa linalokopesheka'! This is sheer absurdity!

Mojawapo ya stumbling stones kubwa ya taifa letu ni kuchukua mikopo amabyo directly haita-stimulate uchumi. Ni sawa na mtu anayechukua mkopo usiolingana na kipato chake.

Yaani nna mengi ya kueleza lakini basi tu..
 
kinachotuua Tanzania ni siasa, Siasa imeingia kila kona, MAkanisani, Misikitini, Mahakamani, Mashuleni na kila kona yenye kuleta Mabadiliko ya kweli,

Hata kama tusingekua na haya Madini, still nchi ineweza kuwa mbali kimaendeleo, hizi bandari pekeyake za Tanzania zinaweza kui-run hii nchi katika kiwango standard kabisa
 
kuna kuendelea kwenda mbele au kwenda nyuma.
yote ni maendeleo tu
tz tunaenda nyuma kwa kasi ya ajabu
 
is backward growing a development?????????????????/\
wanasiasa wanakwambia UCHUMI UNAPAA....haya yote ni baada ya kununua rada,ndege ya rais,kuzichunia kagoda,meremeta,kiwila.......................
maisha bora kwa kila mtz hayawezekaniu maana maisha bora hata kwa kila mmarekani hayajawezekana....................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…