mtundu27
Member
- Jul 17, 2018
- 78
- 123
Habarini wadau.
Hii nchi ilipofika nahisi panabidi pawake kwanza wenda tutaheshimiana.
Yaani ccm wanaendesha nchi kama mungu aliwaambia hii nchi nawapa ccm tu hamna wengine.
Yaani hawa watu wanachofanya ni zaidi ya uonevu, na mijitu imekaa kila siku kuwashangilia ili wapewe uongozi, kwa mfano magazeti ya tanzanite na lile la uhuru..
Kwenye uchaguzi waibe kura, hela za kodi wanatokomea nazo (rejea trilioni na nusu), bunge live hakuna, bunge lenyewe limezibwa mdomo, mahakamani nako ni shida, polisi ndio kimekuwa kitengo cha ccm, deni la taifa linapaa tu.
Yaani nahisi panahitajika discipline ya haja ili tuheshimiane, maana tunafanywa malofa kupitiliza kwa mwamvuli wa amani na uzalendo.
Sent using Jamii Forums mobile app