Hayo hayatowezekana chiniya CCM
CCM wenyewe ndio wavunjaji maadili,
Wanaunga mkono USHOGA ambao unamkera sana MUNGU wetu.
Wanapiga sana hela za Umma bila kuhojiana pale zinapoibwa fedha za Umma na mmoja wao.
Ubadhirifu mkubwa wa fedha za Umma ndani ya serikali ya CCM ikiwemo kutumia kwa kuimarisha siasa na mifumo ya udhibiti wa wengine.
Kwanza CCM ingoke.
Amani ya kweli n pale kila mmoja atakaposhi bila hofu na kutowa maoni bila hofu,sio kufuatilwa kwenye mitandao.