Tanzania ikifanya yafuatayo, itaongoza kiuchumi Afrika Mashariki na kati

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Feb 18, 2016
1,261
1,222
Kwa sasa najua hatuongozi, ila kuna maeneo ambayo tukitoa kipaumbele tutapaa kiuchumi ktk nchi zetu za Afrika Mashariki na kati. nayo ni kama ifuatavyo:
1. Kuongeza ukubwa na huduma za kisasa ktk bandari za Dar, Tanga, Zanzibar na Mtwara. kwa sasa baadhi ya mizigo ya TZ inashukia Mombasa(Kenya), Beira(Msumbiji) na hata Afrika Kusini kwani kwetu ni longolongo
2. Kuongeza ukubwa na huduma ktk viwanja vya ndege vya Dar, Kilimanjaro na Zanzibar. kwa sasa baadhi ya abiria wanaokuja Bongo hushuka Nairobi, Kampala
3. Kuongeza kasi ya ujenzi wa flyovers kuepuka foleni ambazo hulitia hasara kubwa taifa
4. kuongeza kasi ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami ili kurahisisha usafirishaji
5. kuondoa vikwazo vya kibiashara hasa foleni kwenye mizani
6. kuongeza idadi ya watumishi, bajeti ya kutosha, vitendea kazi na kuwapa meno TAKUKURU na ofisi za CAG na PPRA
7. kuhakikisha hakuna upendeleo hasa kwa wafanyabiashara wakubwa ktk fursa za kibiashara
8. ongeza nyingine na wewe
 
9. Utumbuaji majipu ukiongezeka kwa mtu yoyote mhujumu, fisadi, matumizi mabaya ya madaraka na wapokea na watoa rushwa.
 
Back
Top Bottom