Tanzania ijayo itaendeshwa na gesi

Tanzania ijayo itaendeshwa na gesi

nyarongo

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
231
Reaction score
70
TANZANIA IJAYO: Umaskini Utatokomezwa. Tanzania ni moja ya nchi 50 maskini Duniani. Tujifunze: (1) Qatar- gesi asilia na mafuta: GDP/Capita ni US$ 93,965. (2) Oman- gesi/mafuta: GDP/Capita ni US$ 19,001, (3) Mauritius- viwanda na utalii: GDP/Capita ni US$ 10,516, (4) Botswana: inategemea madini pekee: GDP/Capita ni US$ 7,504. Tanzania GDP/Capita ni US$ 1,005. Gesi Asilia na Madini vitatoa mitaji kwa kilimo, ufugaji, uvuvi na viwanda vyetu.

S. Muhongo
 
Back
Top Bottom