Kamanda alikuwa anaongea kwa hisia kiasi kile, halafu wapumbavu wanaleta porojo zao za siku zote! Kikwete kaambiwa ukweli ni janga kwa Taifa, Samia naye kaambiwa ukweli uwezo hana! Na pia amejipitisha kuwa mgombea kinyume na utaratibu!
Hongera sana Captain Tesha kwa kujitoa muhanga kulipigania hili Taifa.
Nina imani wewe pamoja na wenzako wengi tu mlifikia kiwango cha mwisho cha kuvumilia huu ujinga unaondelea kutamalaki nchini. Na uzuri umeusema wote.
Hakika wazalendo na wapenda mabadiliko ndani ya hii nchi tumefarijika sana kwa tamko lako.