Tanzania Hatuhitaji Tena kutuongozwa na Vizee Tunadumaa kimaendeleo kwa sababu ya wao


Sonara

Sonara

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2008
Messages
729
Points
195
Sonara

Sonara

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2008
729 195
Ndugu zangu Watanzania nakuombeni mtafakari sana tena san huu sio tena wakati wakutafuta wazee kutuongoza,Ulimwengu umebadilika kimaendeleo na hata katika maisha tunayo ishi sisi wenyewe ,jiangalie wewe binafsi halafu muangalie mzee wako tafautu iliyokuwapo na mawazo yake na yako kimaendeleo au kupiga hatua na mtazamo wako na wake kimaendeo,leo hii angalia kina Dada jinsi wanavyoishi tujiangalie sie wanaume vipi tunaishi nao halafu angalia hawa wazee tunao wachagua wawe ndio viongozi wetu ni wazee mawazo yao kimaisha yapo tafauti na mawazo ya vijana wa taifa la sasa na kesho tuwawache katika uongozi nakuombeni ,tujende Tanzania itakayo unganisha maedeleo yanayotokea ulimwenguni.
 

Forum statistics

Threads 1,283,910
Members 493,869
Posts 30,805,818
Top