Tanzania Government to probe alleged secret CDM party financing

Hatujawahi kupata waziri mkuu mbovu kama huyu.
 
kWA nini tusijadili kwa kiswahili, jamani tunajivua nguo wenyewe mbona!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sisi tulikubali yaishe kumbe jambazi linataka kuumbuliwa?????? Tatizo la CCM na makada wao siku zote wako bussy na michongo ya pesa hapa JF hawatii mguu, kumbe hawajui kwamba wizi wao na pesa zao chafu zilishajadiliwa sana ni kiasi cha ku-upload ngoma zote zitakuwa hadharani.
Nadhani ni muda mzuri sasa kuwavua magamba hawa badala ya kujivua wenyewe maana tumesubiri wao kuchkua hatua
 
ila zile hela zilizofichwa switzerland hawajaanza kuzichunguza...
Mkuu wangu Sweke, ni huyohuyo Pinda aliyesema hawezi kusema chochote kuhusu ufisadi wa meremeta na taangold kwa kuwa ilikuwa miradi ya jeshi. Poor him, don't waste your time discussing his stupid utterances !
 
kWA nini tusijadili kwa kiswahili, jamani tunajivua nguo wenyewe mbona!!!!!!!!!!!!!!!

Hatuko Darasani kutafakari Ufanisi wa Kiingereza; Kama ni hivyo basi ningekuwa bado niko Tanzania natokwa na Jasho kusubiri Vidaladala...

Hapa sio Ufanisi kila mstari ni story nyingine... siandiki Ph.D sasa kama ni wewe kunirekebisha kiingereza nimeishi nje zaidi ya miaka 20 sasa sasa sijui

nimesoma sijabuda, na sibebi maboksi...
 

scrappy government, failed state, still in comma. thinking in 2-D, as usual!
 
Swali moja tu hivi mnaotetea huo ufadhili wa nje ni wajinga au mna maslahi binafsi?
Robo tatu ya bajeti ya serikali ni fedha kutoka nje, je huu ni ujinga au maslahi binafsi ya viongozi wa serikali ya wavivu wa kufikiri?
 
yap .this is point cause they have to clarify how they get election money for 2005,presidential election ,before changing the topic from ccm to chadema how they get money ,for my take ,its only a fear how small parts now is growing fast .so let all planned things be in action now .
 
Umeona eeh! Nadhani hii ni katika mikakati ya kuimaliza CHADEMA kwa kuibambikia kesi ambayo haina kichwa wala miguu. Tutasoma na kusikia mengi sana katika safari hii ya kuelekea 2015. Nimeshaanza kuwa na wasiwasi kama uchaguzi wa 2015 utafanyika kwa kutumia katiba mpya.

ila zile hela zilizofichwa switzerland hawajaanza kuzichunguza...
 

Waanza kwanza kuchunguza zile za USWISS, Kagoda, Rada, DEEP Green, Richmond, and nyinginezo nyingi. Jamani matamko mengine ya viongozi wetu ni utata na tukuyajibu inavyotakiwa wengine tutapewa ban ya jumla kabisa, zinachefua.
 
Robo tatu ya bajeti ya serikali ni fedha kutoka nje, je huu ni ujinga au maslahi binafsi ya viongozi wa serikali ya wavivu wa kufikiri?

Sasa wewe ni mfano wa ujinga, ufadhili wa nchi hasa kwenye budget si sawa na ufadhili wa vyama vya siasa. Mbona NGO siku zote zinapokea huko hujasikia kelele?
 
The probe and the quest for Money Laundering activities should have been done way back in 2007 to CCM party mambers and other government officials. It has been proved beyond no any reasonable doubt that they have been engaging directly or indirectly, in transactions, whether in or outside the United Republic, which involves the removal into or from the United Republic, of money or other property which are the proceeds of crime. This is the fact!

There are various records of supporting evidence which clearly show / describes the various methods used by CCM / Government officials to engage themselves in Money Laundering activities. They should not waste the tax payers money to carry out an investigation because of the reason that the so called CCM cadres have raised some concern over CDM! They know all the facts and they should have done their homework early in advance and came out and disclose all those who are money launderers.

If Nape and CCM know excatly where CDM is getting dirty money, why shouldn't they say in public instead of demanding CDM to clarify their source of income? This is offcourse, one of the bubble talking!
 
Curse to PINDA Curse to your MABWEPANDE saga!! Curse to your move to your double standard attitude!! Disclose even the owners of the Swiss account and the numerous scandals of your fellow devils!!

Tukiwagusa mafisadi nchi itayumba... says PM Pinda
 
Hela chafu? EPA, change ya RADA, Deep Green, Meremeta, Kagoda, mabilioni Uswiss na sasa Dangote!

Hata hivyo Pinda asipate shida sana, Nape alidai anayo majina ya nchi zinazotoa hela "chafu" kwa makubaliano maalum.

naomba kufaham kuhusu dangote.
 
Sasa wewe ni mfano wa ujinga, ufadhili wa nchi hasa kwenye budget si sawa na ufadhili wa vyama vya siasa. Mbona NGO siku zote zinapokea huko hujasikia kelele?
Ecoli, you are very fond in using abusive language so as to shield your emptiness. However, this doesn't help as reality will rule forever.
 
Kuna kila dalili sasa hii serikali ya magamba imefika mwisho wake kabisa wa kutawala, and there is a possibility of not reaching 2015! Hebu tufanye tathmini zifuatazo, mabingwa wa kutumia pesa chafu hapa nchini ni CCM na siyo CDM, hebu Pinda na Nape watupe majibu yafuatayo, kama pesa ya EPA-Kagoda ya bilioni 40 hazikutumika kumwingiza JK Ikulu, ni kwa vipi pamoja na wezi hao kufahamika hawafikishwi mahakamani, badala yake mmevifikisha vidagaa vya EPA akina Maranda?! Ni vipi mseme kuwa CDM inapokea pesa toka nje, ili hao wa wafadhili wa nje waje kukomba rasilimali zetu, wakati benki kuu ya Uswisi imeeleza kwa uwazi kabisa kuwa kuna vigogo 6 wa serikali ya magamba wamewekewa bilioni 315 katika mabenki ya uswisi na makampuni yanayochimba gesi na mafuta nchini, sasa watwambie benki kuu ya Uswisi nao ni waongo? Hata hivyo njia ya ya mwongo ni fupi, staili ya siku zote ya magamba ni kulindana kwa nguvu zote na wakati wote kupotosha ukweli, lakini tunaamini Mungu ameanza kuwafunulia wa-TZ, waelewe kuwa viongozi walioko madarakani hivi sasa hawana huruma hata chembe na wananchi, ila wao wapo madarakani kwa lengo moja tu kujinufaisha wao na familia zao tu, CDM msife moyo endelezeni moto wa M4C kwa nguvu zaidi ili uendelee kuwachoma magamba na waendelee kuweweseka!
 
Hii mbona ni rahisi,serikali haina haja ya kutumia pesa za wananchi bure,Nape kasema anazijua nchi zinazochangia pesa CDM,aitwe kwa DPP hakahojiwe kama wanavyohojiwa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…