buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 4,273
- 10,029
Tanzania yenye mambo haya kila siku vijembe haviishi popote, vijana ajira ni tundu la sindano, maneno mengi bila vitendo, maji hakuna vijijini ila wengine wanaogelea visiman uh oh polis nao kamatakamata isiyo na mbele wala mkia.
Siasa napo mambo muhimu pembeni miongozo ndo inatawala bunge hakuna shida za wananchi kujadiliwa,rais hotuba tamutamu hadi wengine washaifanya chai ndo maana hawanuni sukari ikipanda bei.
Utegemezi mwingi bila ubunifu mtu akitengeneza kibatari watu wanazima kipaji sii unajua hatupendi vya ndani ila vya nje ndo maana wazungu wakaja kuchota maliasili watengeneza kwao tununue mchina kuua tembo watengeneze vikombe tunavyonyea chai, vijana wakipata pesa wanaabudu Mungu yoyote atakaye tuliza tamaa dah TUTAPIGA HATUA KWELI?
Changia yako