Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,928
- 107,396
una uhakika pesa zote zitaingia lindi?Hii LNG ikifanikiwa kujengwa Lindi, itaibadilisha Lindi kwa kiasi kikubwa sana, 30bn US $ ( sawa na bajeti ya Tz kwa miaka 3) kuingia kwenye mkoa mmoja si suala dogo.
Waandishi wetu wa Tz hawajui vitu vya muhimu, ingekuwa hii project ipo Kenya ingepigiwa promo ya ajabu sana, nashangaa magazeti ya nyumbani yanang'ang'ania na habari za siasa uchwara siku nzima.
Hiyo 30bn US $ ni gharama za mradi, fedha nyingi itaenda wapi ni swali tata kidogo, ila ni wazi makampuni ya nje ndio yatapewa tender nyingi za masuala ya utaalamu. Kwa hiyo jibu fupi ni ndio pesa yote hii itawekwa Lindi ila wanufaika wakubwa wa tender hizo wanaweza wasiwe watu wa Lindi au watanzania ki ujumla.una uhakika pesa zote zitaingia lindi?
30B dollars ni approximate project cost ya ujenzi wa liquefaction plants. Total project cost inaweza kuwa zaidi probably up to 45B kwa maana ya kazi za upstream na kusafirisha gesi mpaka onshore kwenye plants. Gharama zitaenda wapi ni wazi a big chunk zitalipwa kwa kununua teknolojia ,makampuni ya yatakayotoa ushauri wa kitaalamu kwa mradi ( consultants)na pia wajenga mradi ( contractors ). Kwa Lindi, spill over effect itakua kubwa. Investors wanawabanwa na local content policy pia. Ni wazi Lindi will be transformed.una uhakika pesa zote zitaingia lindi?
niliyemnukuhu hapo juu halifahamu hilo. anadhani pesa zote zitabaki lindi! nusu ya hizo pesa zitarudi west, ambapo wadau wa kiwanda wanatoka. huko watakopa na consultants & contractors wanatoka huko. china pia watafaidi. local content policy itawabana kwa masuala ya huduma, spill over itakuwa kubwa kwa kukuzwa kisiasa kama ilivyotokea mtwara.30B dollars ni approximate project cost ya ujenzi wa liquefaction plants. Total project cost inaweza kuwa zaidi probably up to 45B kwa maana ya kazi za upstream na kusafirisha gesi mpaka onshore kwenye plants. Gharama zitaenda wapi ni wazi a big chunk zitalipwa kwa kununua teknolojia ,makampuni ya yatakayotoa ushauri wa kitaalamu kwa mradi ( consultants)na pia wajenga mradi ( contractors ). Kwa Lindi, spill over effect itakua kubwa. Investors wanawabanwa na local content policy pia. Ni wazi Lindi will be transformed.
suala la pesa nyingi zitaenda wapi sio tata hata kidogo. chukulia mfano wa dangote; USD 500M zilizoingizwa pale, nyingi zimeenda nje. kwanza ni kampuni ilopewa tenda, sinoma ya china. kisha mitambo iloagizwa nje, chuma na nondo, mafuta, vipuri, mpaka sigara zimetoa nje (uchina), nyaya za umeme, plastic, makaa ya mawe, n.k. walau cement ilojenga pale ni ya ndani. kwa mfano huo tu, fikiri kuhusu hicho cha gesi.Hiyo 30bn US $ ni gharama za mradi, fedha nyingi itaenda wapi ni swali tata kidogo, ila ni wazi makampuni ya nje ndio yatapewa tender nyingi za masuala ya utaalamu. Kwa hiyo jibu fupi ni ndio pesa yote hii itawekwa Lindi ila wanufaika wakubwa wa tender hizo wanaweza wasiwe watu wa Lindi au watanzania ki ujumla.
Kuhusu Lindi kufaidika , hilo lipo wazi, hotel zitajengwa, airport ya Lindi itaboreshwa, miundombinu na huduma za kijamii zitaboreka maradufu, ajira nyingi zitatengenezwa, huu ni mradi mkubwa sema haupewi airtime tu.
Hii LNG ikifanikiwa kujengwa Lindi, itaibadilisha Lindi kwa kiasi kikubwa sana, 30bn US $ ( sawa na bajeti ya Tz kwa miaka 3) kuingia kwenye mkoa mmoja si suala dogo.
Waandishi wetu wa Tz hawajui vitu vya muhimu, ingekuwa hii project ipo Kenya ingepigiwa promo ya ajabu sana, nashangaa magazeti ya nyumbani yanang'ang'ania na habari za siasa uchwara siku nzima.