Tanzania facing aid freeze over Zanzibar stalemate

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,418
9,206
Despite threats by the donor community to suspend aid, there are indications that the Zanzibar Electoral Commission (ZEC) will
proceed with the rerun of the presidential election next month.

Foreign diplomats have criticised the ZEC for nullifying the October 25 election and announcing a rerun even though the Vienna Convention
prohibits diplomats from engaging in local politics.

Hanne-Marie Kaarstad, the Norwegian ambassador to Tanzania, visited the Civic United
Front (CUF) offices in Zanzibar and held talks with party officials.

The previous week, Ms Kaarstad along with 16 ambassadors and high commissioners issued a joint statement on the rerun of the Zanzibar elections that had been
judged as credible by observers.

The diplomats said they were concerned about the nullification by ZEC without having provided
evidence to substantiate the claim that irregularities had taken place.

“We regret that an election rerun was announced while dialogue between parties was still
ongoing,” the statement said. “For the benefit of all Tanzanians, we reaffirm our belief that the
current political impasse in Zanzibar would be best addressed through a mutually acceptable
and negotiated solution.”

And just two days after Ms Kaarstad’s visit, Minister for Foreign Affairs Augustine Mahiga
was quoted as saying that the government will now vet all activities that the diplomatic corps
plans to hold with leaders of political parties, as was indicated in a circular the minister said was
issued last month.

READ: Tanzania issues tough rules for diplomats’ local movement
Tanzania has previously faced the risk of having development assistance suspended due to
political situations or scandals.

In 1998, the European Union froze development aid worth about $10 million to the Isles for three
years, in protest against alleged gross human-rights violations following the controversial 1995
election in which Salmin Amour (CCM) won the Isles presidency by a narrow margin.

The board of the Millennium Challenge Corporation has withheld funding to Tanzania, citing the Zanzibar crisis as one factor.

Nick Branson, a senior researcher at the London-based Africa Research Institute, said the
comments made by the ambassadors showed
their commitment to a negotiated solution to the Zanzibar impasse.

He said other donors may be considering reducing their grants.

“Where Tanzania could pay a political cost is if travel advisories are issued by Western nations.

Western nations could advise their citizens against travelling to Zanzibar, resulting in lost
income for the exchequer and the people of Zanzibar.

This will only compound the economic difficulties facing the Isles,” Mr Branson said.

No resolution
Attempts by the international community to resolve the matter have been unsuccessful so
far, as former Nigerian president Goodluck Jonathan, who led the Commonwealth’s mission, was not taken seriously as a mediator despite the organisation’s having helped the CUF and CCM reach an agreement after the 1995 and
2000 elections.
 
Habari njema hizi, hili ndiyo nimekuwa nikilisubiri siku zote, waache wakate misaada yao na hapo watakuwa kama vile wamempiga teke chura, tutajifungia ndani chini ya Uongozi wa Magu tutajibana lkn tutakuja kuibuka vizuri, hivyo ni bora wafanye hivyo!
 
Source???
Hivi huyu balozi alikutana na Seif ofisini au hotelini?
 
Magu mwenyewe ana fikra za tz kuwa donor country....!!! Misaa hii ya ajabuajabu na masharti ya kipuuzi tunaihitaji vipi!!!
 
Kama misaada watunyime tu ila chondechonde wasituekee economic sanctions maana hali itakuwa mbaya zaidi ya zimbabwe.
 
J
Waende zao Huko 1.3tr tunaweza kukusanya wenyewe tukiamua. I hate this glorification of Aid!
january zimekusanywa 1.1 trillioni, yamkini tutaweza kujitegemea. Lakini mpaka sasa bado sana. Kuna pesa zisizoingia kwenye budget ambazo ni misaada kupitia mashirika mbalimbali. Mfano America kupitia Walter Reed wanasaidia utoaji tiba za VVU/UKIMWI nyanda za juu Kusini. Wakitoka ni balaa...
 
Nadhani watanzania hasa wana ccm hawajui nini maana ya vikwazo au kukatiwa misaada, msiwe mnaropokwa tu kwamba tutajibana hatutaki misaada, magufuli atajenga nchi kwa nchi kama Tanzania haina uwezo wa kujiendesha bila misaada, mfano angalieni iraki leo iko wapi ilianza hvyo hvyo kukatiwa misaada iangalieni irani ilipokatiwa misaada watu walikufa njaa iangalieni zimbabwe hivi ss watu wanakufa njaa huo ni mfano wa nchi chache tu, ss watanzania na tubaki na uzalendo wa kichama halaf wazingu watugomee tuone, maoni yangu watanzania mnajichimbia kaburi la njaa
 
Ngoja nionganishe dots kidogo.
1: Tumewapa wachina mikataba ya gesi
2: mile chama cha Obama kinepumzishwa na sasa ni mile chama cha kina bushi.
3: Gadafi alisanbamba majeshi take kila chocho mwishowe akajichimbia chini ya kalvati

4: Jwtz limepelekwa zenji na uchagizi unarudiwa kwanguvu na juna kila dalili ya wananji kupata kichapo.
5: Magu anauzoefu wa kujenga madaraja hivyo kujificha chini ya kalvati uzowefu anao sijui Upande wa Wa yule Dr. Kyle visiwani.

Ni mtazamo wangu
 
Nadhani watanzania hasa wana ccm hawajui nini maana ya vikwazo au kukatiwa misaada, msiwe mnaropokwa tu kwamba tutajibana hatutaki misaada, magufuli atajenga nchi kwa nchi kama Tanzania haina uwezo wa kujiendesha bila misaada, mfano angalieni iraki leo iko wapi ilianza hvyo hvyo kukatiwa misaada iangalieni irani ilipokatiwa misaada watu walikufa njaa iangalieni zimbabwe hivi ss watu wanakufa njaa huo ni mfano wa nchi chache tu, ss watanzania na tubaki na uzalendo wa kichama halaf wazingu watugomee tuone, maoni yangu watanzania mnajichimbia kaburi la njaa
We nawe acha uwongo na kuandika usilolijua Irani si nchi ambayo inategeme misaada na wala hakuna RAIA aliekufa njaa eti kiss misaada ilichofanyiwa Irani ni economic sanctions yaani zile bidhaa ambazo unazalisha huwezi hats kuuza nje.Irani ni middle economy country na vitu wanaweza kuzalisha na GDP yao ni kubwa ni nchi ya 18 kwa uchumi mkubwa pamoja na per capita.jiulize Irani ilivyoondolewa vikwazo tu wakanunua ndege aina ya airbus 150 sasa unajuwa kiasi kimetumika. Ndo maana mi nadhani kwamba hiyo misaada watunyime tu ila wasituekee economic sanctions kiasi cha kwamba tunakuwa hatuwezi kuimport wala kuexport.
 
Bro uko sawa, Ila yote Ndio Yale Yale... Huwezi kuwAcondition eti msitupe misaada Ila msiweke economic sanctions,, ha ha ha haaa .. Hivi unaweza kumuwekea pozi na masharti mtu anaekusaidia kwamba nipe hiki kile sitaki???
 
Waende zao Huko 1.3tr tunaweza kukusanya wenyewe tukiamua. I hate this glorification of Aid!

Unaropoka wewe. Hiyo 1.3tr yako haifui dafu kwenye hela za misaada zinazoingia nchini whether kwenye kusaidia budget au kufinance operations za miradi mbalimbali kupitia NGO's zao.

Hata hivyo viongozi wako ndio waliona hatuwezi kuendelea bila kutembeza bakuli.
 
Bro uko sawa, Ila yote Ndio Yale Yale... Huwezi kuwAcondition eti msitupe misaada Ila msiweke economic sanctions,, ha ha ha haaa .. Hivi unaweza kumuwekea pozi na masharti mtu anaekusaidia kwamba nipe hiki kile sitaki???
Hawa wanaangalia nchi na nchi kuna nchi hazitegemei misaada kwa Tanzania uwezo was kuzalisha vitu wenyewe ni shida ndo maana hatuna uwezo hata wakufanya export za manufactured goods ndo maana hawana wasiwasi. Wakieka economic sanctions hats hizo kodi ambazo wanadai tumeweza kukusanya sijui trillion 1 hatutakuwa na huo uwezo kwa sababu hizo kodi kiasi kikubwa zimetokana na bidhaa ambazo tumeimport toka nje na hapo kumbuka ukiwekewa hizo sanctions jua na thamani ya sarafu lazima ishuke kwa kiasi kikubwa.
 
Mkuu Mimi sina neno Ktk Hilo...Mimi ninachosema huu msuli tunaotaka kuwatunishia donors wetu sio mzuri.. Yaani ni kosa KUBWA sana tunafanya, mpaka baadae tuje kuabika Ndio tuwaombe msamaha itakua ni kuchelewa mno.
 
Kama misaada watunyime tu ila chondechonde wasituekee economic sanctions maana hali itakuwa mbaya zaidi ya zimbabwe.
Hawa huwa wanaanzaga hivo. Wakiona hilo halijawagusa baadae wanaishie kwenye economic sunctions. Hawana jema hawa.
 
Back
Top Bottom