Tanzania: Everyone is scared

on whose terror gang payroll the author is? Uamusho I presume!
 
Mbuzi zamani walikuwa hawana mchungaji, kuna wapuuzi eti waliwahi kumuambia rais aliyechaguliwa kihalali kuwa watafanya nchi isitawalike. Sasa hivi wanachungwa na kuchungika wakitoka nje ya mstari ni viboko. Heshima imekaa mahala pake.
Usijisahau nawe ni mbuzi pia! Kama mchungaji ni mmoja je, umekaa kwenye mstari unaotakiwa kuwa?
 
Hajiamini hata kidogo hakuwahi kufikiria kuyapata madaraka makubwa kama aliyonayo.

That's the common behavior of dictators, they are narcissist but also scared, they trust no body
 
Nitpicking of trivialities
 
Mbuzi zamani walikuwa hawana mchungaji, kuna wapuuzi eti waliwahi kumuambia rais aliyechaguliwa kihalali kuwa watafanya nchi isitawalike. Sasa hivi wanachungwa na kuchungika wakitoka nje ya mstari ni viboko. Heshima imekaa mahala pake.
Jamaa kadharaulika pakubwa akaonekana
 
Stupid journalist .I am a tanzanian and I am not scared.Dont write everyone is scared you son of a bitch.When you say everyone is scared exclude me say you are scared yourself nobody voted for you to be all tanzanians spokesman
 
Hahahaa hiki kiingereza cha kiswahili ni cha yule mchungaji wa kule nyanda za juu baada ya kumaliza mlima kitonga hahaa sa mbona mengine hayana ukweli pamoja na kuunga unga lugha?? Kuwa mzalendo kwa nchi yako ongea ukweli tupu mchungaji uongo wa nn??
 
Mwandishi atakuwa mchungaji msigwa hicho kiingereza ni chake kabisa
 
Nonsense
The message is quite clear
 
Mbuzi zamani walikuwa hawana mchungaji, kuna wapuuzi eti waliwahi kumuambia rais aliyechaguliwa kihalali kuwa watafanya nchi isitawalike. Sasa hivi wanachungwa na kuchungika wakitoka nje ya mstari ni viboko. Heshima imekaa mahala pake.
Hawa jamaa wanasahau kuwa walimchokoza wenyewe huyu mtu. We ni nani katika nchi hii ufikie kusema nchi haitatawalika wakati mwenzio ana majeshi na wewe una vibaka.
 
Stupid journalist .I am a tanzanian and I am not scared.Dont write everyone is scared you son of a bitch.When you say everyone is scared exclude me say you are scared yourself nobody voted for you to be all tanzanians spokesman
You don't have to use such indecent language which of course mirrors your upbringing.
Also grow a brain, the author is not a member of JF so you are just emptying your stomach of foul gasses
Wazzock
 
OK pastor msigwa CHADEMA MEMBER OF PARLIAMENT
 
Mbuzi zamani walikuwa hawana mchungaji, kuna wapuuzi eti waliwahi kumuambia rais aliyechaguliwa kihalali kuwa watafanya nchi isitawalike. Sasa hivi wanachungwa na kuchungika wakitoka nje ya mstari ni viboko. Heshima imekaa mahala pake.
...Another rubbish from a shithole citizen...
 
Kingereza kingereza kingereza
Tafadhali mamaangu andika kiswahili ili usidanfanye umma kwa kutokujua lugha ya watu.Itapendeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…