TANZANIA ELIMU HAITUSAIDI

TANZANIA ELIMU HAITUSAIDI

Joined
May 2, 2023
Posts
35
Reaction score
22
nashangazwa kuona wasomi wanchi wanaunga kuiteketeza nchi, ukizungumzia bandari ndio uchumi wa nchi na bandari ndio huamua imports na exports yan kipi kiingie kipi kitoke, na kisikitisha zaidi maelfu yawatanzania wamejiajili huko inamaana bandari zikibinafsishwa watanzania wataenda kunyanyaswa nakuzurumiwa hakizao, je tuseme elim inatusaidia nawakati terms za mkataba zipo wazi hazikubaliki kwa watanzania
Tamaa zaviongozi wetu wajaza matumbo zitaighalim nchiyetu miaka mingi mnoo
Tunacho takiwa kujua dunia ipo under capitalism na dp world sio wajinga wamiliki bandari kwamanufaa yawatanzania niishu ambayo haiwezekani kwasababu capitalism is all about capital maximization hivyo tutaibiwa vingi kwakuwa wakaguzi tutakua sio sisi na selkari haitahusika chechote maeneo ya bandarini
Note from bible" watuwangu wanaangamizwa kwakukosa maalifaa"
we are going to suffer
 
Back
Top Bottom