Tanzania Daima imekaa Kiudakudaku tu

mkada

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
1,200
Reaction score
908
Hebu soma hii habari.

 
Kuliko UHURU na MZALENDO??
 
Acha ujinga kunazaidi ya Tanzania daima?kasome la uhuru basi
 
Uhuru ,Tanzania Daima, na Mzalendo yote jamii moja, udaku tu. Gazeti la kusoma ni Mwananchi.
 
Udaku uko wapi hapo?! Nini cha uongo hapo?! Ulitaka wakwambie kapandisha elimu? Ukitaka kusifiwa kwa mazuri kubali kuambiwa yaliyo mabaya pia.

Ficha upumbavu wako usifiche hekima yako...
 
Sasa hapo udaku upo wapi? mbona mwandishi amechukua data kutoka kwa prime minister, au ulitaka achakachue kama wanavyofanya uhuru na mzalendo? acha ujiinga wewe!!
 
Udaku uwapi hapo???

mie mwenyewe nimeshangazwa, sasa kama huu ndo anauita udaku basi haya ya uhuru na mzalendo sijui tutayaitaje. Huyu amefilisika kiakili, hajui alitendalo
 
Hata Mwanachi nalo wakati mwingine! wanajua wenyewe, tatitzo wahariri wetu wanashawishika kirahisi sana

Uhuru ,Tanzania Daima, na Mzalendo yote jamii moja, udaku tu. Gazeti la kusoma ni Mwananchi.
 
Umetumwa na magamba wenzio

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
CCM na Mwenyekiti wake ni Wazee wa mipasho, kawaambie gazeti la Uhuru 'li-WASUTE' hao Tanzania Daima. Mkiambiwa ukweli hamtaki hujalazimishwa kusoma ukweli kaa na ujinga wako wa Uhuru na Mzalendo
 
Naona hapa ni vita kati ya simba na yanga, tukubali kukosolewa kama tumekosea wakuu. Ushabiki katika uandishi magazetini ni hatari kwa taifa
 
CCM na Mwenyekiti wake ni Wazee wa mipasho, kawaambie gazeti la Uhuru 'li-WASUTE' hao Tanzania Daima. Mkiambiwa ukweli hamtaki hujalazimishwa kusoma ukweli kaa na ujinga wako wa Uhuru na Mzalendo

we naye mkiurupukaji kila.,ona aibu basi
 
Hebu soma hii habari.

mkada

Umbeya upo wapi hapa? je unamaana hiyo data ni uzushi? kipi wewe kinakushangaza kama Div iv na Zero ni 90%

Kikwete aangusha elimu
• Aporomosha ufaulu kutoka asilimia 89 hadi 43
 
Last edited by a moderator:
Uhuru+mzalendo magazeti ya kufungia chapat,nyanya+vitunguu+bamia magengen...
 
Km na detailed evidence zimeainishwa udaku ukwapi??
 
Tanzania Daima ni gazeti la chadema, ndio maana uandishi wake haufuati weredi wa uandishi. Wako kwenye kazi ya propaganda ambayo imeshaonyesha kushindwa baada ya wananchi kuwashtukia.

Kitu ambacho wanadhihirisha kutokujua ni kwamba hata propaganda ni taalum na inatakiwa kufanywa kwa kufuata kanuni zake.
 
Ukweli ndo udaku sio??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…