Ngoja katiba itengeneze adhabu stahiki za kuhujumu uchumi kama za China na mabadiliko ya utawala 2015 ndio faida ya rasilimali hizo zitakapo nufaisha nchi. Kwa hali ya sasa hata mchanga wa pwani yetu yote ugeuke almasi hamna changes yeyote itakayo onekana.